Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
Wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
Tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
Yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
Leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia