Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu..
Mimi nina pesa..
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee hendsome na aliyesoma...
Hapo hajazungumzia gari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa, hayo mengine ni mambo binafsi
Licha ya mapungufu Mkisi ana akili sana yule
 
Ilikuwaje akatenguliwa u DC kasuru...???
Sijajua ila nahisi maelewano labda hayakuwa mazuri

Ila kama mkuu ama kinyongo nae dah Career ya Mkisi inakuwa kama ndio imeingia mdudu hivo
 
Ni kawaida kwenye maisha hasa hasa ya ajira serikalini. Leo wewe ni mkurugenzi wa wilaya, kuna kijana ofisini kwako kwajitoa ufahamu kaenda kugombea ubunge, kapata na kabahatika uwaziri TAMISEMI ndio ashakuwa bosi wako tena.

Uwe Bakhresa tu ndio utaendelea kuwa bosi mpaka utakapochoka mwenyewe au shughuli zikushinde
Kwenye ngazi za kijeshi zimepigwa sarakasi hapo maana sio fair junior umrushe juu ya seniors labda mabifu au utashi wa Jiwe Ila hamna namna
 
Jeshi ni taasisi ambayo iko poa sana, na haikaririki, usije ukajiona leo wewe ni mkuu basi wachini yako wote ukawaona wamechelewa na hawatakufikia kamwe (ukajimwambafy).

Mwaka 2014 mdogowangu aliingia kwa mujibu wa sheria(form 6) matokeo yalivyotoka alipata Div 1 PCM, Kipindi bado wako camp jeshi likawataka wale ambao wanapenda wajiunge na JWTZ wajitokeze, mimi mdogowangu alikua hataki kabisa ila kwavile mimi bro wake najua nini maana ya maisha na najua jinsi ajira zilivyongumu nilimshauri aandike jina.

Miezi 2 mbele baada yakumaliza mafunzo ya jkt, alipigiwa simu akaripoti ktk kambi ya Twalipo, pale walifanyiwa uhakiki na usaili then yeye akabahatika kwenda kufanya military Science Russia, alivyorudi bongo akawa na cheo cha luteni usu, hakukaa sana akapanda hadi luteni kamili.

Kwenye project ya ujenzi wa chamwino alikuwepo anasimamia, Rais akawapa promition wote waliokua wanasimamia ule ujenzi now yeye ni captain..

Lakini kipindi yeye ni luteni usu kulikua na maluteni anawapigia saluti, but now wao ndo wanampigia saluti.

Jeshi raha sana USHIRIKIANO, NIDHAMU na UCHAPAJIKAZI ndiyo nduzo ya mafanikio hakuna kingine.
 
Jiwe bwana dah yaani watu wa form six 2014 washakula ukapteni dah

huyo mdogo wako lazima atafika juu sana kama hajafika hata miaka 30 tayari ni kapteni
 
yaani kama masihara vile jamaa kapitwa kama kasimama
Nakupa mfano mdogo mwaka 2012 wakati nipo Oljoro afande Sijaona Miyala alikuwa Captain bada kidogo akapanda akawa meja akawa ana kaimu u CO wa kikosi kile cha Oljoro baada ya Co wetu wa pale kufariki kw ajari ya gari aise yule CO alikuwaga miyeyusho yani akivyofariki tulifurahi mno Afande miyala akawa Meja kipindo icho 2013 na ndo akawa Co wa Oljoro leo Miyala ni Kanali nae na ndo mkuu wa Shule kiangaiko RTS Muda c mrefu Miyala atakuwa MEJA jeneral na yy ila kwa Mbuge kapanda vyeo fasta fasta sana aisee eti kisa kujenga jenga tuu dah aiseee ila kila mtu na Bahati yake...By the way Afande kanali Mkisi simjui sana na wala cjawai kutana nae sana..
 
umri kama utambeba anaweza fika kwenye umeja jenerali ila RTS naona kama sio post ya kumbeba kufika Umeja jenerali labda angekuwa Chuo cha TMA hivi

Halafu Myala hajapanda haraka sana kama 2014 alikuwa meja

Mkisi kasota sana kwenye umeja wakaja kumpa uluteni kanali
 
Ndio ajapanda sana mwaka 2014 slikuwa Meja ni mtu poa sana huyu jamaa yani dah aisee ana utu mno....mkisi mm nahisi apandi Rank kuna kitu sio bure japo cmjui sana nilisikiaga ishu ya mafinga jkt na miti ya jeshi ile....sina uhakika....sina uhakika....sina uhakika inasadikika...

TMA alikuwaga Afande Jeneral masawe cjui now ni mkuu wa chuo cha kunduchi yule sasa ndo Sr yule jamaa kupita wote jeshini...

ohoo kumbe

Wahenga walisema lisemwalo lipo hivo haitakuwa mbali na ukweli

alaa nimeshaelewa
 
umri kama utambeba anaweza fika kwenye umeja jenerali ila RTS naona kama sio post ya kumbeba kufika Umeja jenerali labda angekuwa Chuo cha TMA hivi

Halafu Myala hajapanda haraka sana kama 2014 alikuwa meja

Mkisi kasota sana kwenye umeja wakaja kumpa uluteni kanali
Kwani sio fullu kanali c fullu kanali???
 
TMA alikuwaga Afande Jeneral masawe cjui now ni mkuu wa chuo cha kunduchi yule sasa ndo Sr yule jamaa kupita wote jeshini...
ucommandant pale TMA mtu rank zinajibu

aliekuwa commandant pale TMA anaitwa Masao sio Masawe ingawa majina yote ya kichaga

Masao ingekuwa sio haki kutompa three stars wakati ni Senior kuliko hata Mabeyo au Huyo COS
 
Back
Top Bottom