Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Angekua mbali sana, sasa hiyo nikama Adhabu tu alopewa kijeshi.Pole yake yule bwana
Kwa alivyo na kichwa kizuri ilikuwa awe angalau kwenye ngazi za Ujenerali
Kwaiyo husda tuu dahPole yake yule bwana
Kwa alivyo na kichwa kizuri ilikuwa awe angalau kwenye ngazi za Ujenerali
Na yy alingia kichwa kichwa sana uko kasuru...Wee acha aiseee, mpaka ikafikia mkewe kumshaur jamaa aachane na uDC
Fitna za vyeo
Waliokuwa Chini yake wamerushwa juu yake
Na yy alingia kichwa kichwa sana uko kasuru...
Jamaa ni mtu wa Dini mnooo, kuna inshu aliifanya wazee wakule wakammaindi sanaaaaaa sanaaaaaa ndo shida ikaanzia hapo.
Huyu jamaa kama aliwahi kutufundisha. Kwani alikuwa mjeshi??Hahaaa hata sijuii...
Hizo ni baadhi ya kauli zake tuu, Ashawahi vunja simu ya thamani mbele ya wanafunzi kuonesha ana hela..
Anakuambia kwenye friji yangu hakuna kinywaji cha chini ya 200,000
Mwanagu wa darasa la tatu anakuzidi hicho ulicho present.
Kitanda changu kinalaliwa na degree nne..
Zangu mbili na za mke wangu mbili
Ninalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo,
Ukiona gari langu linapita manzese ujue limeibiwa...
House girl wangu lazima awe na degree
Yaani jamaa ndio maisha yake hayo..
Fanya ufanyavyo usije ukaingia kwenye anga zake,
Kinyume na hapo hana shida na wewe.
Ila kiukweli ni very smart kichwani na ni kiongozi mzuri sana...
Yap ni mjeshi tena sio wa kubahatishaHuyu jamaa kama aliwahi kutufundisha. Kwani alikuwa mjeshi??
Mke wake pia ni lecturer kule departmient za CONASs
Mungu amzidishie huyu bwnaa. Sifa na majivuno yake kamwe katika module zake alikuwa anafundisha hakuwahi kuwa na dharau.Yap ni mjeshi tena sio wa kubahatisha
Ndio, hiyo ni kutaka kumweka sawa jamaa hapo juu aliyesema vyeo vya chini hawana madhara.Km sijakosea nadhan Ni Sergeant Samuel Doe.
Hakuna cha kusota, elimu tuHuwezi kufika ukanali kama hujatumikia jeshi walau 20yrs
Huyo dogo atasota sana kwenye umeja
Huyo Mbuge ni nani sasaSio rahisi kama ww unavyofikiria kuna watu wana degree za india lkn ni macoplo jeshini jeshi kismart oooh na bahati kama una bahati utapanda rank fasta kama Mbuge...
Kumbe waha wastaarabu sanaHuyo Kanali Mkisi Akiwa Kasulu Yapo Yaliyomkuta Mpaka Akatolewa UDC ,Waha Walimuonya Ila Ndiyo Hivyo
Mbuge aliingia Jeshini lini na elimu gani na Mkisi aliingia lini na Elimu ganiMbuge ana elimu kuliko Mkisi?
Mbuge ana akili kuliko Mkisi?
Yap namkumbuka Mzee Nelson Mkisi Mkubwa wa Jkt sikumbuki cheo chake cha mwisho wakati huo Kama Major General Nelson MkisiMnyakyusa
da hv hujui kuwa siku hzi mkisi ni lecturer juo flan hapa Tz...ashaachana na JESHI KITAMBO SANAUpo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje
wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015
tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT
DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI
yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe
leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge
Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
jamaa alikuwa na program yake moja inaitwa MKISI PROGRAMU...aisee kuna siku aliingia darasan kwetu akaanza kukagua daftari la mmoja baada ya mwingine..akamkuta mmoja hata daftar hana...aisee alimpiga kofi moja hilo darasa zima tukashtuka..dogo akapatwa na maluelue ikabd apelekwe hospital ndo ikawa pona yangu....maana mi mwenyewe aikuwa na daftar siku hyoAkiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.
Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu, mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Mimi nina pesa..
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee hendsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia gari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....
Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Je kabla ya hapo napo alipanda fasts 1979-2014 kama miaka 34Ila nae amepanda fasta fasta...2014 brigedia....2015 meja jeneral ..2016 chief of staff...2017 CDF
Nani kakwambia Gen. Mabeyo siyo 4 star general?Mimi bhana katika kukalili majina aisee siko vzr ila najua ni mchaga. Ok any way..afu nikulize kitu ivi kwann mkuu wetu wa majeshi ana 3 star na wala co 4 star mana ukiangalia rank za kijeshi kwa jumuiya ya NATO maJeneral wengi wa nchi izo wana 4 star au 5 Star why cc kwetu ana 3 star au kuna vigezo wangalia baadhi ya nchi...???