Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Hahaaa hata sijuii...
Hizo ni baadhi ya kauli zake tuu, Ashawahi vunja simu ya thamani mbele ya wanafunzi kuonesha ana hela..

Anakuambia kwenye friji yangu hakuna kinywaji cha chini ya 200,000

Mwanagu wa darasa la tatu anakuzidi hicho ulicho present.

Kitanda changu kinalaliwa na degree nne..
Zangu mbili na za mke wangu mbili

Ninalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo,

Ukiona gari langu linapita manzese ujue limeibiwa...

House girl wangu lazima awe na degree

Yaani jamaa ndio maisha yake hayo..
Fanya ufanyavyo usije ukaingia kwenye anga zake,
Kinyume na hapo hana shida na wewe.

Ila kiukweli ni very smart kichwani na ni kiongozi mzuri sana...
Huyu jamaa kama aliwahi kutufundisha. Kwani alikuwa mjeshi??

Mke wake pia ni lecturer kule departmient za CONASs
 
Sio rahisi kama ww unavyofikiria kuna watu wana degree za india lkn ni macoplo jeshini jeshi kismart oooh na bahati kama una bahati utapanda rank fasta kama Mbuge...
Huyo Mbuge ni nani sasa
 
Upo usemi kuwa maisha ni kama Gwaride wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na wa mwisho akawa wa kwanza hii yote inategemea gwaride limeamrishwaje

wiki tatu zilizopita update ni kuwa Martin Mkisi bado yupo kwenye ukanali tangia mwaka 2015

tarehe 31 August mwaka 2016 Mbuge alikuwa na cheo cha luteni kanali akiwa CO Ruvu katika tarehe hiyo Mkisi alikuwa ni DC Kasulu akiwa ni kanali Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Ndalichako afunga Mafunzo ya Vijana kwa Mujibu wa sheria Ruvu JKT

DC KASULU NA KAMATI YAKE YA ULINZI NA USALAMA WAFANYA OPERESHENI KUKAMATA MAJANGILI NA WATEKAJI

yaani kwa kifupi ni kwamba katika Uafisa mkuu jeshini Martin Mkisi ni senior kwa Mbuge ila ndio vile tena maisha Gwaride Mbuge kapandishwa haraka haraka na Mkuu wa kaya jiwe

leo Mbuge yuko ngazi mbili juu ya Martin Mkisi cha kuumiza zaidi Mkisi na Mbuge walikuwa kituo kimoja cha kazi pale Mgulani huku Mkisi akiwa ni mkubwa wa Mbuge

Mkisi kurudi kuwa mkubwa kwa Mbuge ni kama haiwezekani, possible scenario ni labda Mkisi afike kwenye uluteni jenerali wakati huo Mbuge akishindwa au akichelewa kufika kwenye uluteni jenerali na jeshini techinically cheo cha mwisho ni meja jenerali na hakuna uhakika kama Mkisi atafanikisha angalau kufika kwenye ubrigedia
da hv hujui kuwa siku hzi mkisi ni lecturer juo flan hapa Tz...ashaachana na JESHI KITAMBO SANA
 
Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu, mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Mimi nina pesa..
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee hendsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.
Hapo hajazungumzia gari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
jamaa alikuwa na program yake moja inaitwa MKISI PROGRAMU...aisee kuna siku aliingia darasan kwetu akaanza kukagua daftari la mmoja baada ya mwingine..akamkuta mmoja hata daftar hana...aisee alimpiga kofi moja hilo darasa zima tukashtuka..dogo akapatwa na maluelue ikabd apelekwe hospital ndo ikawa pona yangu....maana mi mwenyewe aikuwa na daftar siku hyo
 
Ila nae amepanda fasta fasta...2014 brigedia....2015 meja jeneral ..2016 chief of staff...2017 CDF
Je kabla ya hapo napo alipanda fasts 1979-2014 kama miaka 34
Tuseme 1979 luteni us
1981 luteni
1990 captain
1995 major
1998 luteni kanali
2004 kanali
2014 Brigedia General
Hii ni kukisia tu sio uhalisia
 
Mimi bhana katika kukalili majina aisee siko vzr ila najua ni mchaga. Ok any way..afu nikulize kitu ivi kwann mkuu wetu wa majeshi ana 3 star na wala co 4 star mana ukiangalia rank za kijeshi kwa jumuiya ya NATO maJeneral wengi wa nchi izo wana 4 star au 5 Star why cc kwetu ana 3 star au kuna vigezo wangalia baadhi ya nchi...???
Nani kakwambia Gen. Mabeyo siyo 4 star general?
 
Back
Top Bottom