Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Hakuna jeshi la hivyo ndugu 92 nao ni askari wa Jw wanaofuata taratibu za jeshi na wana nidhamu ya hali ya juu pia hakuna officer anaetoa order ya ovyo,officer anakamisheniwa na raisi ina maana 92 akimdharau officer kamdharau raisi atachukuliwa hatua zinazotakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana katika maisha. Wa kwanza kuwa wa mwisho na wa mwisho kuwa wa kwanza au katikati.
 
Hayo majivuno yamepita kiasi.
 
Wengi kinachowagandisha sio kozi za kijeshi bali ni Promex, unaelewa maana ya promex? 2013 kuna jamaa ninaemfahamu alikuwa ni Kanali na alikuwa hajafikisha hata 40.
Hata Mkisi nahisi aligonga u Kanali below 40...

Kuna kitu ndio nakisikia humu ngoja nitafute ukweli,

Naona watu wanasema jamaa Hayupo tena jeshini, na alipitia makubwa wakati akiwa DC, Najua ni kweli alikua DC halafu akarudishwa jeshini, nikajua ni mambo ya kawaida tuu kumbe kulitokea hayo mpka wakapishana na mkuu?
Kama ni kweli hili linanisikitisha.
 
Ujui lolote kusu jeshi kaa kimya....

121.
 
Aisee,Ajikwezaye......Naye ajishushaye.....
 
blaza usibishe,order za hovyo zipo na ndio maana si kila mtu anaweza kutoa order yoyote tu kwa kikosi chochote.ndio maana officer wa kule lazima atolewe damu tena kule.kifupi anaumia mara 3,ili kuondoa hali hiyo ya mtu kuagiza asichokifahamu kwa undani.

mtu anapewa adhabu ya kulinda kikosi peke yake wiki nzima[emoji16][emoji16][emoji16] na hapaibiwi,afisa wa kawaida huwezi iweka sawa hii.lazima itakuchanganya.
 
NDIYO KILICHO
HICHO NDIYO KILICHOMPONZA! UKIWA NA TABIA YA KUJICHUKUA CHUKUA WATU WATALAZIMIKA KUTAFUTA MAISHA YAKO NYUMA YA PAZIA. NA MWISHO WA SIKU UTAANGAMIZWA AU KUFICHWA. UKISOMA KITABU CHA 48 LAWS OF POWER UNAAMBIWA "NEVER OUTSHINE YOUR MASTER"...................................NATUMAI WAPENDA SIFA HAPA WATAELEWA, NI SENTENSI MOJA LAKINI UKISHINDWA KUIELEWA UNAWEZA KUANGAMIZWA AU KUJIANGAMIZA PASIPO KUJUA KWAMBA UNAJIANGAMIZA
 
Ila nae amepanda fasta fasta...2014 brigedia....2015 meja jeneral ..2016 chief of staff...2017 CDF
Kasota sana miaka 34 baada ya kupewa commission ndio mtu unavaa ujenerali ni kasota sana mkuu

Batch iliopita ya waliopanda ubrigedia wapo ambao toka commission yawezekana haifiki hata miaka 20
 
Hata kwa bakhresa kuna waliopita kwake tena kwa manyanyaso lkn Mungu si Athumani wameingia serikalini na Bakhresa anaenda kupiga magoti kwao ili wampe huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…