Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeyo ni CDF (Chief of Defense Forces). Defense forces zimegawanyika katika kamandi tatu, kamandi ya Jeshi la nchi kavu, kamandi ya Jeshi la anga na kamandi ya Jeshi la majini (Navy). Hizi kwa ujumla wake zote zipo chini ya CDF Mabeyo. JKT inaingia hapo katika kamandi ya Jeshi la nchi kavu.Hivi mkuu wa majeshi kama huyu Mabeyo anakuwa ni mkuu wa hadi polisi, magereza, zimamoto, JKT nk?
Au protocol zikoje?
Mabeyo ni CDF (Chief of Defense Forces). Defense forces zimegawanyika katika kamandi tatu, kamandi ya Jeshi la nchi kavu, kamandi ya Jeshi la anga na kamandi ya Jeshi la majini (Navy). Hizi kwa ujumla wake zote zipo chini ya CDF Mabeyo. JKT inaingia hapo katika kamandi ya Jeshi la nchi kavu.
Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kama Polisi, Magereza nk vina wakuu wao, kwa mfano IGP Sirro kwa upande wa Polisi. Ila kwa mfano wakikutana CDF na IGP hapo IGP atampigia saluti CDF sababu ya kitu kinaitwa 'seniority of forces', kwa kifupi TDPF ni 'senior' ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Bila shaka umepata picha mkuu
MndaliMkisi ni Mhehe au Mbena
Na vipi kuhusu TISS hapo inaangukia kwenye kundi lipi.Mabeyo ni CDF (Chief of Defense Forces). Defense forces zimegawanyika katika kamandi tatu, kamandi ya Jeshi la nchi kavu, kamandi ya Jeshi la anga na kamandi ya Jeshi la majini (Navy). Hizi kwa ujumla wake zote zipo chini ya CDF Mabeyo. JKT inaingia hapo katika kamandi ya Jeshi la nchi kavu.
Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kama Polisi, Magereza nk vina wakuu wao, kwa mfano IGP Sirro kwa upande wa Polisi. Ila kwa mfano wakikutana CDF na IGP hapo IGP atampigia saluti CDF sababu ya kitu kinaitwa 'seniority of forces', kwa kifupi TDPF ni 'senior' ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Bila shaka umepata picha mkuu
HhahahahHwakati ningali mdogo nilikuwa napenda vyeo viwili tu jeshini: Captain na Colonel. Yaani kuitwa Captain Kichuguu au Colonel Kichuguu nilikuwa naiona ni fresh sana. Nilikuwa influenced sana na personalities za Colonel Mahfudhi na Captain Mushi wakati huo.
Ameachishwa kazi aliwakoroga waha wakampa homa mfululizo aliandika barua kuacha ukuu wa wilaya ikaonekana hana nidhamu kilochofuata ndiyo hichoMbona kuna jamaa wanadai ameacha jeshi anafanya mambo yake?
Chief upo!!Ameachishwa kazi aliwakoroga waha wakampa homa mfululizo aliandika barua kuacha ukuu wa wilaya ikaonekana hana nidhamu kilochofuata ndiyo hicho
Nipo mkuu majukumu tu yamezidi sana
Kila la kheri [emoji120][emoji120][emoji120]Nipo mkuu majukumu tu yamezidi sana
Amepotea ila ndiyo hakuna namna maisha yasongeHaki ya mungu
Hamna namna kwa Afande
Pamoja sana mkuu
Yupo vizuri sana kiuchumiDuuh
Ujasiriamali unahusika