Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Hivi mkuu wa majeshi kama huyu Mabeyo anakuwa ni mkuu wa hadi polisi, magereza, zimamoto, JKT nk?

Au protocol zikoje?
Mabeyo ni CDF (Chief of Defense Forces). Defense forces zimegawanyika katika kamandi tatu, kamandi ya Jeshi la nchi kavu, kamandi ya Jeshi la anga na kamandi ya Jeshi la majini (Navy). Hizi kwa ujumla wake zote zipo chini ya CDF Mabeyo. JKT inaingia hapo katika kamandi ya Jeshi la nchi kavu.
Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama kama Polisi, Magereza nk vina wakuu wao, kwa mfano IGP Sirro kwa upande wa Polisi. Ila kwa mfano wakikutana CDF na IGP hapo IGP atampigia saluti CDF sababu ya kitu kinaitwa 'seniority of forces', kwa kifupi TDPF ni 'senior' ukilinganisha na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Bila shaka umepata picha mkuu
 
Nimekupata mkuu
 
Na vipi kuhusu TISS hapo inaangukia kwenye kundi lipi.
Je CDF akikutana na mkuu wa TISS ni nani atampigia salute mwenzake?
 
wakati ningali mdogo nilikuwa napenda vyeo viwili tu jeshini: Captain na Colonel. Yaani kuitwa Captain Kichuguu au Colonel Kichuguu nilikuwa naiona ni fresh sana. Nilikuwa influenced sana na personalities za Colonel Mahfudhi na Captain Mushi wakati huo.
 
HhahahahH

Na anaestaafu katika cheo cha kepteni kwa kweli CV yake mbovu

Ila kustaafu kanali au luteni kanali iko poa ni vyeo vya juu unakuwa unajivunia kabisa
 
Back
Top Bottom