Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Akiingia kwenye pindi au kama anahutubia
Anaanza kuzungumzia familia yake kwanza.

Familia yangu yote hakuna mwenye Degree, ni masters kwenda juu,
Mimi na mke wangu tuu kitanda chetu kinalaliwa na degree 4.
Nina pesa mbwa haruki,
Mkuu wa shule kubwa kabisa Tz na east africa,
Mwanajeshi pekee handsome na aliyesoma...
Ukiona gari yangu inapita manzese ujue imeibiwa, toa taarifa,
Nalipwa mshahara na Jeshi, Shule na vyuo.

Hapo hajazungumzia magari,
Hajataja sifa za mwanae,
Hajataja backgroud ya kwao....

Hahaa anyway ni mtu poa na smart sana, hayo mengine ni mambo binafsi
Mkisi ni muhaya?😁😁😁
 
Usifananishe u coplo ana na ukapteni

Hao wawili wameingia wako system mbili tofauti

Mmoja na afisa was jeshi mwengine Ni Askari was kawaida .

Huyo mwenye degree ya India anaweza kuwa afisa Ila tu Kama umri wake Miaka 32 hajavuka

Kama amevuka atachakaa na degree yake ya India hapo hapo kwenye ukoplo

Akisogea sana atakuwa warrant officer

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ukiwa na 33 ndo basi Tena kwenda TMA?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba ni rafiki yangu, sijui kama analima mbogamboga. Najua kuhusu miti kule Iringa na biashara za Mbao.
 
Basi Mkisi siyo Senior kwa Mbuge kama mleta mada alivyoonyesha! Mleta mada amekuwa anaonyesha kama vile Mbuge hajawahi kucommand unit yoyote kulinganisha na Mkisi, lakini kumbe hata Mkisi naye hajacommand unit yoyote. Nimeshangaa jinsi promotion ya Mbuge ilivyoongelewa sana; jamaa keshapaa hivyo. Na anaonekana anajua sana kutimiza majukumu anayokabidhiwa kwa ufanisi mkubwa sana, ni haki yake apate cheo hicho.

Mkuu Mbuge alikuwa junior kwa Mkisi although Mkisi alipewa U'CO' akiwa ngazi ya luteni kanali tofauti na Mbuge alieanzia u'CO' akiwa Meja

Mkisi alikuwa senior kwa wengi sana ambao kwa sasa ni mabrigedia which entails MKi haki Mkisi alitakiwa awe Meja Jenerali leo hii au pengine CDF kabisa
 
Wakati Mkisi anasota na Umeja kina Mbuge walikuwa na nyota mbili
 
Mkuu Mbuge alikuwa junior kwa Mkisi although Mkisi alipewa U'CO' akiwa ngazi ya luteni kanali tofauti na Mbuge alieanzia u'CO' akiwa Meja

Mkisi alikuwa senior kwa wengi sana ambao kwa sasa ni mabrigedia which entails MKi haki Mkisi alitakiwa awe Meja Jenerali leo hii au pengine CDF kabisa
Mtu wa manunuzi awe cdf kweli!?
 
Kozi za juu zaidi ya triple C jeshini zinapigwa kwa ajili ya kuandaliwa na majukumu makubwa ya vyeo vya meja kwenda juu ndio maana ukiwa na cheo cha meja unakuwa una'share' some treatment the same na maafisa jenerali
Mmh!!! Mkuu wapi huko!?
Tz hii hata canal ni cheo kidogo sana, angalau kuanzia brigedia ndio wapo level tofauti.
 
Mmh!!! Mkuu wapi huko!?
Tz hii hata canal ni cheo kidogo sana, angalau kuanzia brigedia ndio wapo level tofauti.

Nakubaliana na wewe Kanali ni cheo kidogo tuje kwenye point: CDF sana sana trade ambayo inawabeba kuwa preferable to consideration kupata U'CDF' ni infantry kisha kichwani mtu yupoje

Meja na kanali licha ya kuwa vyeo vidogo ila wakiamua kukudindia huna cha kuwafanya labda uwe mkuu wa Kamandi kwenda juu tofauti na mwenye nyota tatu na wa chini huko
 
Nafamu kuanzia meja wanaadhibiwa na cdf na sio mp.
Ila kwenye mambo ya mamlaka bado sana
 
Hata cheo cha kanali cheo kimeandikwa kwa chaki tu ukizinguana na mkuu wa kamandi au meja jenerali hivi unaisoma namba maana atakuburuzisha huko mbele ya panel wakuchinjilie mbali sio meja tu
Ndio maana nimesema wenye nguvu huko ni kuanzia gerals
 
Back
Top Bottom