Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

Mkisi ni muhaya?😁😁😁
 
Kumbe ukiwa na 33 ndo basi Tena kwenda TMA?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwamba ni rafiki yangu, sijui kama analima mbogamboga. Najua kuhusu miti kule Iringa na biashara za Mbao.
 

Mkuu Mbuge alikuwa junior kwa Mkisi although Mkisi alipewa U'CO' akiwa ngazi ya luteni kanali tofauti na Mbuge alieanzia u'CO' akiwa Meja

Mkisi alikuwa senior kwa wengi sana ambao kwa sasa ni mabrigedia which entails MKi haki Mkisi alitakiwa awe Meja Jenerali leo hii au pengine CDF kabisa
 

Wakati Mkisi anasota na Umeja kina Mbuge walikuwa na nyota mbili
 
Mtu wa manunuzi awe cdf kweli!?
 
Kozi za juu zaidi ya triple C jeshini zinapigwa kwa ajili ya kuandaliwa na majukumu makubwa ya vyeo vya meja kwenda juu ndio maana ukiwa na cheo cha meja unakuwa una'share' some treatment the same na maafisa jenerali
Mmh!!! Mkuu wapi huko!?
Tz hii hata canal ni cheo kidogo sana, angalau kuanzia brigedia ndio wapo level tofauti.
 
Mmh!!! Mkuu wapi huko!?
Tz hii hata canal ni cheo kidogo sana, angalau kuanzia brigedia ndio wapo level tofauti.

Nakubaliana na wewe Kanali ni cheo kidogo tuje kwenye point: CDF sana sana trade ambayo inawabeba kuwa preferable to consideration kupata U'CDF' ni infantry kisha kichwani mtu yupoje

Meja na kanali licha ya kuwa vyeo vidogo ila wakiamua kukudindia huna cha kuwafanya labda uwe mkuu wa Kamandi kwenda juu tofauti na mwenye nyota tatu na wa chini huko
 
Nafamu kuanzia meja wanaadhibiwa na cdf na sio mp.
Ila kwenye mambo ya mamlaka bado sana
 
Hata cheo cha kanali cheo kimeandikwa kwa chaki tu ukizinguana na mkuu wa kamandi au meja jenerali hivi unaisoma namba maana atakuburuzisha huko mbele ya panel wakuchinjilie mbali sio meja tu
Ndio maana nimesema wenye nguvu huko ni kuanzia gerals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…