Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Naona Kama inakuuma sana [emoji3][emoji3][emoji123]We si ndo unalijua sana jeshi sawa.. kisa umeskia kusu uyo dogo kupanda cheo kwa kupewa tuu....vyeo vya kupewa na sio vya kuvienyea...
jeshi uzoefu unamata kuliko hata madesa ya kukariri mkuu
fuatilia nchi kongwe za wastaarabu huko mfano ubrigedia jenerali watu wanapata wakiwa wameshakuwa na kamisheni kwa miaka thelathini huko
vile vyeo vinakuwa na maana kama mhusika anao uzoefu
Majenerali wa kisiasaMm na ww tukikaa tunaweza tukaelewana hao wengine hawaelewi ni maraia cjui hata movie uwa awangaliiagi mageneral wengi ni wazee jeshini...watu ambao age imeenda wanauzoefu mkubwa na wanalijua jeshi vzr sana...na sio mtu anapewa vyeo fasta fasta tuu kama cjuu nn bhana ww hata miaka 4 ajamaliza anapanda rank 2 juu duu noma watu wana bahati bhana.
Silii na ndoma na like post yako ila nimesema tuu nyny ndo wale mkija jeshini tuna waita ma officer wa voda fasta mana ww una vinyota viwili tuu unataka unipelekeshe mm mkongwe eti ww sagent njoo hapa mm nimeingia jeshini na miaka zaidi ya 20 now niko jeshini ww uko shuleni heshimini watu mnaotukuta kwenye chombo sisi ma askari tunajua mengi sana na iki chombo msilete dharau...sisi ndo tunawafundisha kazi nyny ni ite kustaarabu aisee Sagent njoo nakuomba mara moja na sio kunipelekesha eti njoo apa mtoto wa juzi ww unanita mm njoo hapa ila kuna wengine wastaarabu sana nawapenda ukimsalimia jambo afande anaitikia vzr na mnaongea vzr sana ndio atukatai ni mafande wetu lkn muwe mnatuheshimu aisee mana mmetukuta kwenye chomba stupid....Naona Kama inakuuma sana [emoji3][emoji3][emoji123]
Usilie kamanda ...ngangamara[emoji1787][emoji1787][emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
kama huyo RC nishawaona kibao kuna machalii tu wako na gari za ngao saa hivi halafu unakuta yupo kwenye umri wa 44 hiviKAGUTI namjua yule mkuu wa mkoa wa Bukoba nae ni Brigedia general aisee cheki naumri wake afu alia rank yake...yanu jeshi bhana linatia hasira Mda mwingine.....Mkuu awe anaangalia aisee...uku kupandisha vyeo kiholela holela jau co bhana...
Inasikitisha sana mm Mungu anisaidie tuu nimalize mda wangu....Majenerali wa kisiasa
Dah noma sanakama huyo RC nishawaona kibao kuna machalii tu wako na gari za ngao saa hivi halafu unakuta yupo kwenye umri wa 44 hivi
hakika mkubwa
vipi yule CO aliekuwa miyeyusho akafa kwa ajali alikuwa mnaa sana?
Huyo Kanali Mkisi Akiwa Kasulu Yapo Yaliyomkuta Mpaka Akatolewa UDC ,Waha Walimuonya Ila Ndiyo HivyoDah noma sana
Yani umo umo mm kuna matukio nashindwa kuyaongea humu mana wata connect dot na nitajulikanika mm nani...mzee.....sasa sitaki iko kitu...poleni sana
Vipi alikuwa na ule ubaguzi wa kiafisa kwamba mfano anakuwa ananyanyasa askari akiwadekeza maafisa?
Naskia ni uchawi ushirikina eti sina uhakika inasadikika lkn...Huyo Kanali Mkisi Akiwa Kasulu Yapo Yaliyomkuta Mpaka Akatolewa UDC ,Waha Walimuonya Ila Ndiyo Hivyo
poleni sana
Vipi alikuwa na ule ubaguzi wa kiafisa kwamba mfano anakuwa ananyanyasa askari akiwadekeza maafisa?
Kule Inasemekana Alikuwa Mtata Sana, Waha Wakamuonya Akawa Hivyo Hivyo, Mwisho Mambo Yakawa Hayaendi.Naskia ni uchawi ushirikina eti sina uhakika inasadikika lkn...
Yani we acha tuu vyeo zamana afu pia duniani tunapita tuu....Duh
Malipo hapa hapa duniani
Ebhana eeeeh duuuuKule Inasemekana Alikuwa Mtata Sana, Waha Wakamuonya Akawa Hivyo Hivyo, Mwisho Mambo Yakawa Hayaendi.
Humu Jamiiforums.comIpo Thread Yake Iliyomjadili Mpaka Kuomba Kuondolewa Kasulu
Maana Alikuwa Anapitia Mambo Mengi Sana Magumu
Kulazwa Nje, Kutoka Damu
Kule Inasemekana Alikuwa Mtata Sana, Waha Wakamuonya Akawa Hivyo Hivyo, Mwisho Mambo Yakawa Hayaendi.
Humu Jamiiforums.comIpo Thread Yake Iliyomjadili Mpaka Kuomba Kuondolewa Kasulu
Maana Alikuwa Anapitia Mambo Mengi Sana Magumu
Kulazwa Nje, Kutoka Damu