TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Picha yake akiwa kanali wa TPDF ya wakati huo inaonyesha kuwa tumepoteza shujaa mwingine mkubwa! Watu wengi wanaweza kuwa wanamuongelea kama kiongozi wa kisiasa na kusahau uongozi wake kijeshi!

RIP Kamanda, na pole sana rafiki yangu mwalimu mjengwa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…