TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Washenzi nyumbu na dua zenu za kuku, kamwe hazimfikii mwewe. Mnaomba kuwe na Corona, mnaomba magu afe.
How do u feel in your heart wishing ill to somebody and a country, bcoz amewashinda siasani? Na bado 2025, nyumbu mtazidi kuzikwa hadi mbaki kama nccr
Dah! Umenikumbusha Nccr Mageuzi,nilikua msitari wa mbele kabisa!!
 
Mabebebru wanadai hii version mpya ya virusi vya corona toka SA haisikii chanjo.Sasa hii chanjo inayogawanywa na WHO ni ya nini?
Hivi Mabeberu wakitoa Chanjo wao wanachukua nini!? Au ni msaada kwa Ulimwengu Mzima!?
 
Kabisa, kadri wanavyomwombea mabaya Mungu ndio anazidi kumlinda, yaan tena hatakufa leo wala kesho tunamwombea afya na uzima tele
Hiyo Watoto wa Mujini tunaita Usiye mpenda kaja!!
 
siku hizi Tunaombea kila anayekufa iwe Corona.
Inanikumbusha enzi ya ukimwi.
Kila anayekufa aliambiwa aliumwa UKIMWI.
Basi ili mradi maisha yanaendelea.
Ameugua kwa muda mrefu. Hujasoma?
 
Hivi Mabeberu wakitoa Chanjo wao wanachukua nini!? Au ni msaada kwa Ulimwengu Mzima!?
Nafikiri hukuelewa swali!
Ni hivi:
Covid-19 ya South Africa wanadai ipo Tz na nchi zingine za Africa ambayo wanadai haisikii chanjo.Sasa chanjo WHO wanayotoa sasa hivi ni ya nini /kazi gani kama virus vya sasa hivi havisikii chanjo?
 
Hapo Dodoma kunani tena?

Asubuhi alikuwa Mpangala now Mjengwa?!!!

Rip
Inamaana hujui kua idadi ya watu imeongezeka Dodoma baada ya Serekali kuhamia huko,kwa hiyo na swala la vifo kuongezeka huko ni swala la kawaida sana kwa hesabu za kawaida tu za darasa la Saba B!!
 
Nafikiri hukuelewa swali!
Ni hivi:
Covid-19 ya South Africa wanadai ipo Tz na nchi zingine za Africa ambayo wanadai haisikii chanjo.Sasa chanjo WHO wanayotoa sasa hivi ni ya nini /kazi gani kama virus vya sasa hivi havisikii chanjo?
Una uhakika?...
 
Nimekuelewa sana,sema Mimi najiuliza hii nguvu kubwa wanayotumia WHO ni msaada tu wanatufanyia,au kuna gharama lazima tuzilipe sisi!?
 
Inamaana hujui kua idadi ya watu imeongezeka Dodoma baada ya Serekali kuhamia huko,kwa hiyo na swala la vifo kuongezeka huko ni swala la kawaida sana kwa hesabu za kawaida tu za darasa la Saba B!!
Kumbe!

Ndio maana Dar kwenye watu wachache kafa mmoja Akachube!
 
Mbunge wa Mbarali mstaafu,mkuu wa wilaya mstaafu Col Edmund Mjengwa ambaye ni baba mlezi wa Catherine Magige(Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha) kafariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.

Kwa mujibu wa maggid, amesema kuwa Kanali Edmund Mjengwa ameugua kwa muda mrefu kabla ya mauti kumkuta.

Covid baba lao
 
Soma tena, wamesema alikua anaugua kwa muda mrefu sana! Mbona mnapenda kutengeneza story zenu!?
Kwa hiyo kwenye Post Moterm Report cause of death wanaandika kuugua muda mrefu!!???
are you mad or something!!?
 
Kwa hiyo kwenye Post Moterm Report cause of death wanaandika kuugua muda mrefu!!???
are you mad or something!!?
PMR humu huwezi kuipata,ukiitaka nenda kwa familia watakupatia, humu sisi tunajua tu Marehemu kafa kwa ugonjwa na siyo ajali!!
 
PMR humu huwezi kuipata,ukiitaka nenda kwa familia watakupatia, humu sisi tunajua tu Marehemu kafa kwa ugonjwa na siyo ajali!!
Maana vifo vinavyotawala Dunia Ni vya ajali na vya Ugonjwa!!
 
Back
Top Bottom