TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

TANZIA Kanali Mstaafu, Edmund Mjengwa afariki dunia Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Dah hii balaa kila ukija Tanzia
Mbona toka niko shule, Radio one kila siku wanatangaza matangazo ya vifo kwenye kipindi chao baada ya taarifa ya habari kila siku!? Vifo vipo toka enzi ya Mitume!!
 
Itakua upumuaji..
Hii ngoma inatakiwa sasa iende pale penyewe kabisa..ikamfyeke huyu mshenzi.
Washenzi nyumbu na dua zenu za kuku, kamwe hazimfikii mwewe. Mnaomba kuwe na Corona, mnaomba magu afe.
How do u feel in your heart wishing ill to somebody and a country, bcoz amewashinda siasani? Na bado 2025, nyumbu mtazidi kuzikwa hadi mbaki kama nccr
 
Kuugua muda mrefu ndiyo ugonjwa gani sasa?
Subiri siku ukiaanza kuuguwa ndiyo yote hayo utayajuwa! Kua na afya njema isikupe kiburi,muda na wakati wowote Mwili wa Mwanadamu unaweza badilika!!
 
Mbunge wangu qwa zamani huyu, pole kwa familia
 
Mabebebru wanadai hii version mpya ya virusi vya corona toka SA haisikii chanjo.Sasa hii chanjo inayogawanywa na WHO ni ya nini?
 
Ila msimu huu tunaweza kuwa tumepoteza mapato kwenye utalii lakini serikali ikapiga pesa ndefu kwenye hospitali. Yani ni waongeze tu madactari wa kutosha.
 
Ni wakati muafaka lianzishwe jukwaa la vifo ili wanajamvi watangaze vifo vya wapendwa wao. RIP Kanali Mjengwa.
 
Back
Top Bottom