Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

Baadhi ya mabinti- siku hizi wanaona ni bora kuolewa na mzee upate amani na furaha ya moyo- kuliko kuolewa na kijana ukaishia kwenye stress na fedheha- ulevi- madawa ya kulevya- michepuko- wivu uliopitiliza- ugomvi- uvivu- na kipato duni- kuyaepuka haya yote wadada wanaona ni bora kujitafutia Kibabu chako- uishi kwa raha na furaha.
 
Wewe kuna mwanaume ambaye ameoa ambaye mke wake hamdangi bwana?
Wee tumia hela ule mbususu suala la wananwake kudanga wote tuu wanadanga
Sio kweli, kuna familia mwanamke ndio anampunga.
 
Back
Top Bottom