Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

yani kuna series naifuatilia inaitwa tehran, naona kama ina reflect ukweli.
Ile series ukiifutilia inaonyesha Israel ana sleep agent wengi sana ndani ya Iran mbaya zaidi wengi wao ni Wairan wenye asili ya Israel hivyo inakuwa ngumu sana kuwatambua.

Hata hivyo Iran nao wanaonyesha uwezo mkubwa sana kuzuia hujuma za Israel maana wao asilimia kubwa wanatumia muda mwingi kuzuia mashambulizi.
 
Mtabaki na hizi story za mtu akipigwa risasi hata na wezi mnasema Israel, tulitaka kuona Israel anamshambulia kwa makombora Iran, nndio tujue yeye kidume
Mbona kule Israel ndani Hamas wanaua kila siku hamleti kelele humu
 
Back
Top Bottom