Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

Mtabaki na hizi story za mtu akipigwa risasi hata na wezi mnasema Israel, tulitaka kuona Israel anamshambulia kwa makombora Iran, nndio tujue yeye kidume
Mbona kule Israel ndani Hamas wanaua kila siku hamleti kelele humu
Kwa hiyo wewe unaona sawa Iran kutembezewa kichapo barazani kwake!?
 
Jamaa wakifanya tulip hua hawaachi alama hata moja rejea lile tulio la kumuua Yule babu ambaye wanamuita 'Baba ya nyuklia wa Iran' alivyopigwa na mgobole unaondeshwa Kwa kutumia satellite. Yan wapo Tel Aviv wanafanya mission Tehran.
Fakhrizadeh yule.
 
Majasusi wa Iran nao wawafanyie Israel ndani ya Jerusalem/Tel Aviv kama ni rahisi namna hii.
Mambo ya kuuwa viongozi yalisha pitwa na wakati na ni mambo ya kizamani ndio maana mataifa mengi yalisha acha kufanya huo upumbavu.

Sasa tangu waanze kuuwa sijui wana sayansi sijui viongozi wa kijeshi ni kipi kilicho badirika ndani ya Iran?

Kama wao ni miamba kweli wafanye kama alivyo fanya Putin ndani Ukraine tuione hiyo jeuri yao ilipo.
 
Kudeal na viongozi ni jambo zuri, hawa ndio hufanya maamuzi. Ndio maana hata Putin alitoa ushauri kwa maaskari wa Ukraine kumkamata raisi wao.
 
Hii habari haina uthibitisho kamili kuwa ni Mosad wanasafisha huko!
Inaweza kuwa mahasimu wengine!

Kwani Mossad wakishakiri lolote lile au kataa lolote lile?
Hiyo ndo style yao usijitoe ufahamu
 
Sasa tafuta series inaitwa "The Spy" based on a true story uone jinsi jasusi Eli Cohen alivyoendesha shughuli zake Syria mpaka pale alipokuja kukamatwa na kunyongwa. Jamaa wana maagent wengi sana kwenye nchi za kiislam
Hata hapo Iran wamejaa mno, Waisrael popote walipo wanajali sana nchi yao
 
Mambo ya kuuwa viongozi yalisha pitwa na wakati na ni mambo ya kizamani ndio maana mataifa mengi yalisha acha kufanya huo upumbavu.

Sasa tangu waanze kuuwa sijui wana sayansi sijui viongozi wa kijeshi ni kipi kilicho badirika ndani ya Iran?

Kama wao ni miamba kweli wafanye kama alivyo fanya Putin ndani Ukraine tuione hiyo jeuri yao ilipo.
Putin ni mjinga
 
Wewe usijifanye huelewi, hao ndio mastermind kwenye mipango yao mingi. Ukiona mpaka mtu anakuwa targeted ina maana wanajua influence yake. Wanaouawa sio askari uchwara wa vyeo vya chini, bali ni ma_top kwenye medani.
 
Au walivyomfilisi Mike Tyson.
Almongstrong akaenda mwezini akasiki Adhana Allah wakbar Allah wakbar na Muhammad ndiye Mtume pekee wa mwisho.
Almongstrong akajiuliza:, Eeh, dini si ndiyo hii sasa!!. 😁😁
Alivyorudi akaslimu, CIA wakataka kumuua.
Wakristo hawataki watu waujue ukweli kuhusu dini ya Allah.
 
Wewe usijifanye huelewi, hao ndio mastermind kwenye mipango yao mingi. Ukiona mpaka mtu anakuwa targeted ina maana wanajua influence yake. Wanaouawa sio askari uchwara wa vyeo vya chini, bali ni ma_top kwenye medani.
Hata wangemuuwa Ayatullah nn kingebadirika ndani ya Iran?

Kwahiyo baada ya kumuuwa huyo kanari viwanda vya silaha vya Iran vimeacha kufanya kazi?
Au tangu waanze kuuwa wanasayansi vinu vya Nukilia vimeacha kufanya kazi?

Kama kweli ni wanaume waingie ulingoni kwa kuishambulia miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Iran kama alivyo fanya putin ndani ya Ukraine tuone jeuri yao.
Sio kufanya mashambulizi ya kiwoga na kuvizia kama Alshababu na panya rodi.
 
Back
Top Bottom