Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

wameshakamatwa wahusika hii imekuja baada ya meja jeneral wa israel kuuawa na majasusi wa iran pale jenin palestina

lakin mtoa post nakukumbusha huko ukraine ina hali mbaya najua wewe ni pro ukraine
 
Mtabaki na hizi story za mtu akipigwa risasi hata na wezi mnasema Israel, tulitaka kuona Israel anamshambulia kwa makombora Iran, nndio tujue yeye kidume
Mbona kule Israel ndani Hamas wanaua kila siku hamleti kelele humu
huo umwamba hawezi kiufupi pale kwenye muungano wa nato hakuna wa kuigusa iran
 
Sasa tafuta series inaitwa "The Spy" based on a true story uone jinsi jasusi Eli Cohen alivyoendesha shughuli zake Syria mpaka pale alipokuja kukamatwa na kunyongwa. Jamaa wana maagent wengi sana kwenye nchi za kiislam

Bonge moja ya series. Series gani nyingine kali tofauti na iyo. Inayozungumzia Mossad au intelligence za nguvu
 
Polisi wamefatilia wameshindwa wakamata....

Tehran is a Mossad play ground
Jamaa wakifanya tulip hua hawaachi alama hata moja rejea lile tulio la kumuua Yule babu ambaye wanamuita 'Baba ya nyuklia wa Iran' alivyopigwa na mgobole unaondeshwa Kwa kutumia satellite. Yan wapo Tel Aviv wanafanya mission Tehran.
 
Wabongo bana, yaan jitu linafungua thread kuja kushupalia uhuni wa mataifa ya mbali huko wakat nchini kumejaa taarifa nying za msingi zinazohitaji muda wenu kujadiri ili kuijenga nchi.

Mtu mweusi kweli utumwa wa akili ni ngumu kuutatua, kama ushabiki wa kipuuzi kama huu hautokwisha
 
Lini wamewahi lipiza?
Tafuta popote pale ambapo Iran imewahi lipiza kwa kuua usawia
Mwache ajidanganye huyo. Iran anadundwa na ataendelea kudundwa.

Walimpasua Qassim Suleiman, na yule mwanasayansi wao Mohammed Fakhrizadeh, wakaishia kutungua ndege ya abiria kwa mchecheto na kuuwa ndugu zao ambao ndio walikuwa wengi ndani ya ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…