Kanali wa Iran Revolutionary Guards, Sayad Khodai auawa

Putin ni mjinga
Putin sio mjinga bali alikuwa anajiamini kwa kile alicho kuwa ana kifanya kwamba ana kiweza na ana nguvu ya kukifanya na ni kweli amekifanya kila mtu amekiona.

Ila kwa hao wa taifa lako teule wao hawajiamini ndio maana wanafanya mashambulizi ya kiwoga na kuvizia kama Alshababu na panya rodi.

Kama wao ni wanaume waingie ulingoni kwa kuishambulia miundo mbinu ya kijeshi ndani ya Iran tuone uanaume wao ulipo.
 
Kudeal na viongozi ni jambo zuri, hawa ndio hufanya maamuzi. Ndio maana hata Putin alitoa ushauri kwa maaskari wa Ukraine kumkamata raisi wao.
Sasa tangu waanze kuuwa wanasayansi na viongozi wa Iran ni kipi kilicho badirika ndani ya Iran?
 
hapo ndio ninapowapendea wayahudi. hua hawachezewi sharubu na gaidi.
 
Ngoja waje Iranians wa Buza, utasikia watakavyo pinga.. Israel will kill all top Iran generals and scientists, yaani ndani ya nchi yao au nje ya Iran.
 
Sasa tafuta series inaitwa "The Spy" based on a true story uone jinsi jasusi Eli Cohen alivyoendesha shughuli zake Syria mpaka pale alipokuja kukamatwa na kunyongwa. Jamaa wana maagent wengi sana kwenye nchi za kiislam
Eli Cohen ni overated..taarifa ya maana aliyotoa ni ile ya silaha za Soviet miaka yote ya ujasusi,bintiye anasema alikua nervous kila alipokutana nae
 
Jamaa wakifanya tulip hua hawaachi alama hata moja rejea lile tulio la kumuua Yule babu ambaye wanamuita 'Baba ya nyuklia wa Iran' alivyopigwa na mgobole unaondeshwa Kwa kutumia satellite. Yan wapo Tel Aviv wanafanya mission Tehran.
No perfect murder kijana
 
Kudeal na viongozi ni jambo zuri, hawa ndio hufanya maamuzi. Ndio maana hata Putin alitoa ushauri kwa maaskari wa Ukraine kumkamata raisi wao.
Deal na mfumo siyo kiongozi,umuue Biden then what,marekani itayumba!?..Harris anashika hatamu na Mambo yanaendelea
 
Gonen segev,Waziri wa zamani Israel,amefungwa miaka 11 kwa kukiri kuifanyia ujasusi Iran ndani ya Israel...
 
Mtabaki na hizi story za mtu akipigwa risasi hata na wezi mnasema Israel, tulitaka kuona Israel anamshambulia kwa makombora Iran, nndio tujue yeye kidume
Mbona kule Israel ndani Hamas wanaua kila siku hamleti kelele humu
Umia kimyakimya wewee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…