Bezecky
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 494
- 897
*****
1.Kanda ya kusini yenye mikoa ya Ruvuma Mtwara Lindi ni kanda ya mwisho kabisa kwenye akili za Mbowe au haipo kabisa ni muda sana aliamua kuizika kwa kuingia biashara ya jumla na wapinzani wetu ccm, alikwamisha harakati, alikuwa hafuatilii chochote hata akijulishwa anapiga kimya.
****************************
Alipewa pesa na ccm ili kuzuia mikutano oparation wala chochote kufanyika huko kwa sababu wananchi wanapitia magumu sana hususani wakulima na wafanyabiashara
****************************
Mbowe hakuwahi kuongelea changamoto yotote kusini hata wakati wa serikali kuwaumiza watu kwenye zao la korosho, makaa ya mawe na mengine , yote analipwa yeye kuzima mjadala na wananchi hawana pakusemea
************************
Viongozi wetu waliangaika sana kumfikishia taarifa za huku alete mikutano lakini alikuwa anakwamisha na kusema tusizungumzie korosho wala makaa ya mawe kwani ni upotoshaji
**************************
Kila oparation inazinduliwa kaskazini kila siku kaskazini kumbe kusini mgodi umetema kaskazini ndipo kilipozaliwa chama cha familia
***********************
Mbowe alishindwa kabisa kumaliza migogoro ya ndani iliyodumu muda mrefu na alifanikiwa kufifisha morali za wanachama kabisa kusini hadi chama kua mahututi
********************
Migogoro ya kusini na kifo cha chadema kusini ndio kazi nzuri ya Mbowe kwa watawala na sasa wanafuraha hakuna wakuwakosoa
*************************
Mbowe wala viongozi wa makao makuu hawakutoa ushirikiano wowote wakati wa uchaguzi chama kimekua kama soko huria hakuna muongozo wowote kutoka popote hata angegombea mwanaccm tusingeweza kutambua ushirikiano wa viongozi haukuwepo kabisa wala simu walikua hawapokei kila mtu afe kivyake
********************
Kusini tumekosa kiongozi wa kutupazia sauti kuhusu korosho makaa ya mawe na malighafi nyingine kibaya zaidi tukaamini Mwamba angetuvusha ila kavuka mwenyewe.
****************
Ni lini Mbowe amewahi kutuliza akili akachambua changamoto za kusini au kuleta shughuli mbalimbali kama mikutano maandamano makongamano yafanyike kusini?
Mbowe ulitutenga kusini kusini tutakutenga hukutazama kwa lolote
Sisi Wabangaizaji wa kusini Tunaenda na LISSU
Mbangaizaji mwenzetu
Imetolewa Leo
22.12.2024