PreGE2025 Kanda ya kusini: Angalia Mangaka walivyo Mpokea Tundu Lissu. No reforms no Election

PreGE2025 Kanda ya kusini: Angalia Mangaka walivyo Mpokea Tundu Lissu. No reforms no Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.

IMG-20250408-WA0019.jpg
IMG-20250408-WA0022.jpg
IMG-20250408-WA0027.jpg
IMG-20250408-WA0013.jpg
IMG-20250408-WA0021.jpg
IMG-20250408-WA0016.jpg
IMG-20250408-WA0024.jpg
IMG-20250408-WA0025.jpg
IMG-20250408-WA0018.jpg
IMG-20250408-WA0015.jpg
IMG-20250408-WA0033.jpg
IMG-20250408-WA0026.jpg
IMG-20250408-WA0012.jpg
IMG-20250408-WA0020.jpg
IMG-20250408-WA0031.jpg
IMG-20250408-WA0029.jpg
IMG-20250408-WA0014.jpg
IMG-20250408-WA0030.jpg
IMG-20250408-WA0032.jpg
IMG-20250408-WA0023.jpg
IMG-20250408-WA0028.jpg
 
Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
Picha mkuu
 
Watanzania wako tayari tulikua tunakosa Mussa wakutuvusha tumechezewa sana na matapeli waku trade mana enzi hizo joto likipanda hivi watu nyuma wanapiga vibunda 🤣🤣🤣TAL ni Simba ambae anaweza kuongoza kundi la kondoo ambao wakashinda Vita Mungu azidi kumlinda
 

Niliwahi kusema Mbowe kwenye wmacho ya watu alikua anaonekana ni mzalendo na mtu mwema lakini nyuma yake alikua anaficha matendo maovu hivyo alikosa kibali cha kuweza kuvuta watu .
Roho za watu ni za Mungu mwenyewe sio za Mbowe wala Samia wala Lisu . Mungu akiamua kuleta mabadiliko basi anaweka roho ya ujasiri mkubwa kwa mtu mmoja muadilifu asiyependa maisha yake zaidi ya zengine ,mtu asiye mbinafsi ,mtu asiye mbinafsi na mtu asiye na tamaa . Mbowe alikua hana sifa ya kimungu . Ndio maana hajazahi kuitisha maandamano yoyote yakafanikiwa .
Dr .Slaa alikua anaitisha maandamano na watu wamakana roho zao na kupigwa risasi na kufa kwa furaha kubwa kwa sababu Mungu ndiye anayeweka roho hiyo juu yao .
Tofauti na Mungu shetani kazi yake ni kuua na kutesa watu .
Ndio maana hata CCM akiwasikiliza wanatumia mauaji kutisha watu . Nguvu ya shetani ni Mauti .Yesu alimshinda shetani kwa sababu hakuogopa mauti au kifo.

Kwa uwezo wa Mungu Lisu atafanikiwa sana kwasababu Mungu amemwekea roho ya ujasiri wa kutoogopa kifo kwa sababu ya kupigania haki ya watu wengi badala ya maisha yake binafsi

Kwa sababu hiyo atapewa watu wenye roho ya kufanana na ya kwake
 
Back
Top Bottom