Kanda ya Nyasa: Homa ya Oparesheni 255 yapanda, yasubiriwa kwa hamu

Mambo motomoto Nyanda za juu kusini huyo Kimbaumbau aliezuia Ripoti ya CAG ya wizi wa matrilioni isijadiliwe Bungeni ajiandae ✌️✌️✌️

People's Power No hate No fear.
 
BREAKING: Tumepokea taarifa kutoka ndani ya TISS kwamba, Kongamano la Sauti ya watanzania limeingiliwa, na halitafanyika tena leo. Waliolipa fedha za ukumbi wameambiwa wakazichukue. Pia, chanzo kinataarifu OPERESHENI ya Chadema +255 ipo hatarini kuzuiwa. Msiache hoja ya DP World.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakitaka kuturejesha kule kwa mwanzo wajiandae sana
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba kituo kinachofuata kwa ile Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU ni Kanda ya Nyasa .

Bado haikupangwa ratiba ya Oparesheni hiyo kwenye kanda hiyo , lakini tayari mizuka ishawapanda wananchi , kila mtu anasubiri ujio wa Jambo hilo

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Chadema imeandaa kikosi kazi kikali mno kitakachotoa Elimu ya kutukuka kuhusu Umuhimu wa Katiba mpya sasa , na Tume Huru ya Uchaguzi , huku likiibuka jambo jipya la kushirikisha Wahadhiri 15 kutoka Chuo Kikuu waliopewa jukumu la kuwatafsiria wananchi Mkataba mbovu wa Bandari za Tanganyika na DP WORLD ya Dubai .

Usiondoke JF kwa Taarifa zote za Uhakika .

View attachment 2771572

[emoji28][emoji28] mkuu uwasilishaji wako huwa nafurahi sana,chadema ni mpango wa Mungu.
 
Hakuna anayesema ameingilia mikutano yao isipokuwa nani asiyejua nchi hii itakombolewa kwa maandamano na si majukwaani?

Magazeti au awaye yote atuhusu sisi nini wapi, kama hoja zetu ni kuikomboa nchi kutokea kwa adui anayejulikana?

..nadhani wanachotofautiana ni timing ya hayo maandamano.

..kwa kawaida maandamano ni zao la mikutano ya kuelimishana na kuhamasishana.

..kwa maoni yangu, Mwabukusi na Mdude wanataka kuharakisha suala la maandamano wakati umma haujahamasika vya kutosha.
 
Chadema haijawahi kukataa ushirikiano wenye tija , msipotezwe maboya na waliolipwa

Ratiba ya Mikutano ya Chadema hupangwa na Kamati Kuu , na ndio inayoweza kupangua , si mtu mwingine
Kamati kuu au mwanyekiti wa kudumu
 
..nadhani wanachotofautiana ni timing ya hayo maandamano.

..kwa kawaida maandamano ni zao la mikutano ya kuelimishana na kuhamasishana.

..kwa maoni yangu, Mwabukusi na Mdude wanataka kuharakisha suala la maandamano wakati umma haujahamasika vya kutosha.

Ninayaheshimu maoni yako mkuu.

1664543999224.jpg

Ila Kuna maoni kuwa vyama vina agenda zao na wananchi wana agenda zao. Hapa pana ka ubinafsi kamepita. Suala hili kumbuka limeanza muda kutokota na hata aliposema fukuto bi tozo alimaanisha.

Si siri kuwa vyama vinataka ubunge na ruzuku. Hizi hazina maslahi Kwa wananchi.

Wananchi na wanaharakati wapo huku:

ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

Ukweli na usemwe hata kama mchungu. Ikumbukwe panapo mgongano wa agenda, za wananchi ni supreme.
 
CDM ikichukua break kidogo tu, chawa na majizi yote ya CCM yanapata ahueni. Sasa CDM inabidi ije na mkakati endelevu wa maangamizi mpaka watoke kukiri uovu wao.
 
Ninayaheshimu maoni yako mkuu.

View attachment 2771765

Ila Kuna maoni kuwa vyama vina agenda zao na wananchi wana agenda zao. Hapa pana ka ubinafsi kamepita. Suala hili kumbuka limeanza muda kutokota na hata aliposema fukuto bi tozo alimaanisha.

Si siri kuwa vyama vinataka ubunge na ruzuku. Hizi hazina maslahi Kwa wananchi.

Wananchi na wanaharakati wapo huku:

ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

Ukweli na usemwe hata kama mchungu. Ikumbukwe panapo mgongano wa agenda, za wananchi ni supreme.

..Kuna vyama vinavyotaka Uraisi, Ubunge,Udiwani, na Ruzuku.

..Pia kuna vyama vinataka Ubunge, na Ruzuku.

..Vyama vichanga vianze na Udiwani, Ubunge, ili vipate Ruzuku, na viweze kuwafikia wananchi wengi zaidi na kutengeneza mazingira ya kuwa na mgombea Uraisi.

..Ccm na Cdm hivyo ni vyama vikubwa vina wajibu wa kusimamisha mgombea Uraisi, wagombea ubunge na udiwani.
 
Hizo ni agenda za chama kimoja kimoja ambazo si sahihi sana kwa awaye yote kuzibebea bango au kuzitaka ndiyo ziwe popote kule.

Bado pia hizo haziwezi kuwa agenda za wananchi. Kwani hata ni nani anaweka formula hizo za ukokotoaji fursa?

Kumbuka vyama hivi vimewahi kuwa na wabunge. Inafahamika kuwa ikija marurupu na ruzuku yaani maokoto yao, lugha zao wote huwa ni moja si CCM si CHADEMA, CUF Wala ACT.

Kwamba kwenye mapato hawana mgogoro baina ya upinzani na watawala. Hapo ni wamoja.

"Wote wako ki maslahi binafsi zaidi."

Wananchi wana agenda zao. Wanakereka wanapoona kutaka kutumiwa kama kondomu tu.

Sasa kujaribu kuwapiga vita wana harakati hakuwezi kupokelewa bila maumivu ya kutosha.

Ikumbukwe kwenye vyama kuna wananchi pia na ambao hawapendezwi kupuuzwa kwa agenda zao , wapo.

Siyo siri CHADEMA kuhimiza wasusiwe Wana harakati hakuwezi kupita bila mtikisiko wa kutosha.
 
..Kuna kutupiana maneno, lakini na sisi wananchi tuchanganye na za kwetu.

..Nimemsikiliza Mbowe ktk hotuba yake Zanzibar sijamsikia akisema wanaharakati wasusiwe. Na Chadema ni chama cha wanaharakati.

..Nimesikia kwamba Adv.Mwabukusi ametoa kauli kwamba vyama vya siasa havina maana. Lakini mimi binafsi sina ushahidi wa video kuhusu jambo hilo.

..Mwabukusi anajulikana ni Nccr. Siamini kama anaweza kutoa kauli za kukejeli au kuvitweza vyama vya siasa.

..Kwa maoni yangu, tunatengenezewa fitina kati ya Chadema na Wanaharakati. Na yote hayo ni ili ajenda za Katiba Mpya na Bandari zife.
 
Kuhusu kutengenezewa fitna nilishamtahadharisha huyo brazaj kitambo tu , sasa sijui kama alielewa au la
 
Ni muhimu kutambua yafuatayo:

1. Vyama vya siasa siyo mali binafsi.
2. Agenda za wananchi zitaendelea kuwa supreme.
3. Tukishindwa kuelewana ballots zinaamua mustakabala.

Kwa mtazamo kama huu matatizo yatokee wapi?
 
Kuhusu kutengenezewa fitna nilishamtahadharisha huyo brazaj kitambo tu , sasa sijui kama alielewa au la

Huku si ndilo kunakoitwa trespassing ..?

Watahadharisheni wanaotaka kuzipuuza agenda za wananchi dhidi ya maslahi binafsi. Siyo Sisi.
 
..wananchi wanaweza kukosa chama cha kupigia kura? Ambacho wanaamini kinasimamia maslahi na agenda zao?
 
Back
Top Bottom