Kanda ya Nyasa: Maandalizi ya Oparesheni 255 yakamilika

Rasilimali za Nchi zitalindwa kwa gharama yoyote
 
Viongozi wenyewe tu hapo wamejikatia Tamaa kabisa hawana matumaini wala muelekeo. Kama huyo pascal Haonga wananchi wa mbozi hawataki hata kumsikia kabisa maana miaka yake ya ubunge alifanya kazi ya kuzurula tu bila kufanya chochote kile.ndio maana alishakosana na viongozi wake karibu wote.kulikuwa na mtu anaitwa Davi alikuwa kiongozi wa Red brigade Mbozi ambaye alimpigania sana lakini alipopita ubunge tu akawafanyia kila aina ya kiburi kama ilivyo kawaida ya mjinga na mpumbavu akipata huona wengine wote hawana akili .
 
Ahsanteni

Nyasa Mmetisha Sana

Hiyo Ndio Kanda asili ya Magwiji Wasiotaka Ujinga akina Kambona, Tuntemeke, Kolimba, Rev Mtikila, Mwakitwange nk...nk 😂😂
Kasoro wewe, tu ndio maana miaka fulani ulikuwa unaimba mitano tena🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unalia mitandaoni akina Abdul wanawakilisha nchi India
 
Angalizo: Kama wewe ni Mzalendo na una uchungu na Mali za Nchi hii, na labda una roho nyepesi, basi tafadhali sana usihudhurie kabisa Mikutano ya Oparesheni hii, maana madudu yaliyofanyika Nchi hii yanayoenda kufumuliwa hadharani ni mazito mno, yanaweza kabisa kukuletea kiharusi ama pengine kukusababishia Umauti.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…