Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,

Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,

Pia soma Tetesi: - Huenda Wakati wowote kuanzia Sasa Boniface Jaco, Yericko Nyerere na Emmanuel Ntobi wakavuliwa uongozi na kufukuzwa Uanachama

IMG-20241229-WA0125.jpg
 
hata lisu nae ajiangalie anaweza kufukuzwa tu. kwani yeye nani !! hadi amdhalilishe mwenyekiti kiasi hicho?

hahahahahahahahahahahahahahahaha.....
Mbowe na chadema yako.hatari sana...!!
 
Kwa kuwa ni mtambo wa matusi wa Mbowe,ataomba nguvu kutoka kwa Abdul mambo yabaki kama yalivyo,maana kwa sasa ndio kavishwa mabomu na kazi chafu zote afanye!!
 
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kutukana Viongozi kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Lissu na Heche,

Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,

View attachment 3187846uso wake unaonekanaqna shida
 
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa kutukana na kukashifu Viongozi kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche,

Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo iliwahi kumfutia uongozi msimu uliopita lakini Rafiki yake Mbowe alimrejeshea uongozi kupitia Kamati kuu,

View attachment 3187846
Kiukweli hakumtendea haki makamu mwenyekiti, Yale maneno hayakuwa ya kiongozi anayejielewa, tangu lini kugombea uongozi ni kosa?
 
Lissu kadhalilisha wapi mbowe? Muda wote lissu ni muungwana Sana katika kujenga hoja zake

nimeongea kwa utani tu mkuu.ila kiukweli CHADEMA kina ukilimanjaro.. hivyo wafiachama wengi wapo huko na mwenyekiti wao. hivyo wakiamua lissu hatapona wanaweza kumuondoa iwe kabla au baada ya uchaguzi huu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hawa ndo walijiunga kikundi na kumdanganya mbowe kwamba Bado anakubali la, kumbe ni uwongo
Na sijui ni kwanini Mwenyekiti aliingia kwenye mtego wao, Mbowe amechokwa na Wananchi wa Tanzania ambao ndio wapigakura wa Uchaguzi Mkuu, japo kura zinaibiwa na CCM lakini pia Mbowe ameshindwa kuzuia wizi wa kura unaofanywa na CCM tunaamini Lissu na siasa anazozifanya zitaifanya CCM na Serikali yake kuwekewa VIKWAZO VYA KIMATAIFA.
 
Walio karibu na Mbowe tafadhali mshaurini mhe huyu ajiondoe kwenye kinyangg'anyiro ili kulinda heshima yake na kukinusuru chama.

It is pity to see the highly reputable man like Mbowe is now mocked by everyone .
 
Back
Top Bottom