Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

Wanamuonea tu, kuna wajinga huko Clab house wanatukana wao hawafukuzwi kwasababu sio viongozi?
 
Safari hii CCM imeishinda Chadema mapema sana huwezi ukafanya hizi wakati wa Uchaguzi wa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…