Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na sickle cell huku ndiyo kwake kwasababu kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na hayo mgonjwa na mostly hao ni genetic predsposing disease

Kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa virusi vya ukimwi yaani huku kanda ya ziwa ukimwi ndiyo nyumbani kwake ukigusa tu imo yaani hatari sana ila bado nipo huku kanda ya ziwa kusaidia kutokomeza au kupunguza hii athari ya magonjwa yanayowakabiri.

Nipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
 
Sawa ngosha!
Karibu utusaidie hayo mapungufu.
Ila kabla ya msaada wako, kanda utokapo iko vizuri zaidi ya kanda ya ziwa?! Au ndio yale ya kutukanda kumbe kanda yenu ipo hohehahe zaidi yetu?!
 
Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na sickle cell huku ndiyo kwake kwasababu kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na hayo mgonjwa na mostly hao ni genetic predsposing disease

Kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa virusi vya ukimwi yaani huku kanda ya ziwa ukimwi ndiyo nyumbani kwake ukigusa tu imo yaani hatari sana ila bado nipo huku kanda ya ziwa kusaidia kutokomeza au kupunguza hii athari ya magonjwa yanayowakabiri.

Nipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
Wlokuwaga wanasingizia Kusini 😆
 
Mmachinga unaendelea kupambana na akina Ngosha, ngoja tuendelee kuwa wapenzi watazamaji.
 
Basi kutakuwa na kasi kubwa ya ongezeko la HIV.
Kwa magonjwa hayo mengine inawezekana yapo kwa wingi.
Vipi umefanya utafiti kwa kulinganisha na mikoa mingine?
 
Kanda ya ziwa mmejiachia sana hii miaka ya karibuni mkizani HIV Iko nyanda za juu kusini,matokeo yake mnaelekea kuchukua ubingwaaa
 
Ukimwi nakubaliana na wewe. Maeneo ya migodini na visiwani kunafanyika mambo ya ajabu sana.
 
wanaachaje kuugu mijitu haina maana inachagulaaga tu yani sio shida zao unaenda kwenye ngoma ukion kitu imekuvutia unachukua tu wala sio ishu. hilo ndio tatizo lao kubwa.
 
Nipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
Kanda hio sasa hivi wanapigwa mawe balaa yaan huko ndio kunaonekana kuna takataka zote unachoambiwa mtandaoni fika sasa ushuhudie maana kwa ilivyoelezwa hapa unaweza ukahisi labda hao wagonjwa ukifika tu Nyegezi stendi ukitoka tu pale getini au kuanzia mule ndani utaanza kuwaona hao wagonjwa maana idadi ilivyokuzwa sio kawaida
 
Acha kupakazia wew, tuwekee hapa takwimu yako tuone.

Piga hesabu ya jumla ya watu wote wanaoish kanda ya ziwa na waathirika hayo magonjwa ndo ulete takwimu zako hapa.
 
Utafiti wa gizani? Tupe reference mkuu qnyway kinda ya ziwa walikukosea nini? Anyway njombe, mbeya na iringa huko AIDS ni kugosa tu huko kanda ya ziwa sio
 
Nj

oo inbox nikupe takwimu
 
Back
Top Bottom