Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wlokuwaga wanasingizia Kusini 😆Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na sickle cell huku ndiyo kwake kwasababu kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na hayo mgonjwa na mostly hao ni genetic predsposing disease
Kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa virusi vya ukimwi yaani huku kanda ya ziwa ukimwi ndiyo nyumbani kwake ukigusa tu imo yaani hatari sana ila bado nipo huku kanda ya ziwa kusaidia kutokomeza au kupunguza hii athari ya magonjwa yanayowakabiri.
Nipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
Mmachinga unaendelea kupambana na akina Ngosha, ngoja tuendelee kuwa wapenzi watazamaji.Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na sickle cell huku ndiyo kwake kwasababu kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na hayo mgonjwa na mostly hao ni genetic predsposing disease
Kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa virusi vya ukimwi yaani huku kanda ya ziwa ukimwi ndiyo nyumbani kwake ukigusa tu imo yaani hatari sana ila bado nipo huku kanda ya ziwa kusaidia kutokomeza au kupunguza hii athari ya magonjwa yanayowakabiri.
Nipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
Kanda hio sasa hivi wanapigwa mawe balaa yaan huko ndio kunaonekana kuna takataka zote unachoambiwa mtandaoni fika sasa ushuhudie maana kwa ilivyoelezwa hapa unaweza ukahisi labda hao wagonjwa ukifika tu Nyegezi stendi ukitoka tu pale getini au kuanzia mule ndani utaanza kuwaona hao wagonjwa maana idadi ilivyokuzwa sio kawaidaNipo nanyi ndugu zangu wa kanda ya ziwa kuhakikisha tunatokomeza haya magonjwa nitaondoka kanda ya ziwa mpaka tone la mwisho kuhakikisha kanda ya ziwa ni salama aisee.
oo inbox nikupe takwimuUtafiti wa gizani? Tupe reference mkuu qnyway kinda ya ziwa walikukosea nini? Anyway njombe, mbeya na iringa huko AIDS ni kugosa tu huko kanda ya ziwa sio