Kangaroo Cort, Hakuna kesi ambayo Serikali ina masilahi nayo unaweza shinda kwa Mahakama za Tanzania

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali.

Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam alisema inapigwa simu mmoja tu basi kazi Kwisha.

Nikupoteza muda na pesa kuendesha kesi dhidi ya Serikali kwa mahakama za Tanzania sio rahisi kushinda kamwe na Daiama.
 
Cort. Zizi la mifugo.
Mods kichwa cha Post rekebisheni kisomeke "Kangaroo Court".
 
Kuishitaki serikali ni kazi ngumu sana. Kwanza unaambiwa lazima umuweke mwanasheria mkuu wa serikali kama mmojawapo wa washtakiwa.

Kisha uwaweke ofisi zingine kibao za serikali zinazohusu kesi yako.

Mpaka hapo Hakimu ama jaji mwenyewe anakucheka kimoyomoyo
 
Nchi imegeuka kuwa genge fulani vile. Hata wale jamaa wa " unafahamu mimi nani" huwezi washinda hata ushahidi ukiwa wa wazi. Mf kesi ya Afande.
 
Back
Top Bottom