Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema kuwa dhana ya kuziita kesi zilizopo Mahakamani "kesi za kisiasa" si sahihi, kwani Mahakama zinasimamia sheria na kuwatendea haki wote waliofikishwa mbele yake bila kujali nafasi au vyeo vyao.
Soma pia>>
Wasira: Kila siku Lissu anaweka...
Katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna kesi kubwa tano (5) zinazohusika na mashtaka ya uhaini zilizowahi kufikishwa na kusikilizwa katika Mahakama za Tanzania. Nitawapitisha
1. Kesi ya Uhaini ya 1970 (Tanganyika)
Walioshtakiwa walituhumiwa kupanga njama za kuipindua serikali...
Kama ni yupo Competent kwa nini hajawahi kutoboa hata mara moko.
Zaidi ya kuja kujaza makala ndefu ambazo hazina kichwa wala miguu.
Maana kadili anavyo itetea CCM ndio inazidi kuchukiwa.
What is wrong Paskary?
Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao.
Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi kuwafanya wawekezaji kuogopa kupeleka mashauri yao, tulimuona anakosea sana
Ila ukiona namna hoja za...
Mambo vipi?
Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
Mwenendo wa makahakama za Tanzania kwa utoaji haki kwa masuala nyeti kama ya haki za kisiasa na kikatiba imekuwa ikiingiliwa sana.
Majaji wa Tanzania na Mahakimu wengi ni wafungwa wa Executive. Itoshe kusema Mahakama za Tanzania sio Kimbilio la Haki.
Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali.
Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai.
Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
Habari,
Machafuko ya Kenya yanatikana na ubabaishaji wa mihimili miwili ya Bunge na Mahakama.
Mahakama za Afrika zote hazisimamimii haki na zinaongizea kwa chuki na uonevu chini ya sheria za kurithi kutoka ukoloni zilizokandamizi hivyo kutumika kuwaonea wanyonge waliowengi kwa kisingizio cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.