RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,021
- 4,488
Mambo vipi?
Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake za NO REFORMS ,NO ELECTION
Sema sasa sijajua wamepewa muda mrefu kiasi gani wa kumpotezea muda kisha kumuachia kwa kuwaachia CHADEMA washinde kesi.
Nyie subirini mtaona maana hawana ubavu wa kumhukumu kifo ata kidogo.