Rais Samia: Mahakama za Tanzania zitimize wajibu bila upendeleo, chuki na uonevu

Rais Samia: Mahakama za Tanzania zitimize wajibu bila upendeleo, chuki na uonevu

Tatizo ni Serikali kupitia DPP, Ofisi ya Mashtaka, Polisi.
Mahakama haina nguvu kuzidi hao watu
 
Unapewa maelekezo huku tena unaambiwa unanyima haki, unapendelea, unaongoza mahakama kwa chuki n.k

Na wewe bado tu unaendelea kupokea maelekezo toka juu?

Free Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom