Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, amesema kuwa dhana ya kuziita kesi zilizopo Mahakamani "kesi za kisiasa" si sahihi, kwani Mahakama zinasimamia sheria na kuwatendea haki wote waliofikishwa mbele yake bila kujali nafasi au vyeo vyao.
Soma pia>>
- Wasira: Kila siku Lissu anaweka mapingamizi, ndio maana inachukua muda mrefu
- Stephen Wasira: Tuache kwanza CHADEMA waridhiane na Mahakama, huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea
- Mzee Wasira: Hakuna kesi za kisiasa Tanzania
- Mwabukusi: CCM ishauri Serikali ifute kesi zote zenye viashiria vya kisiasa kama hatua ya kwanza ya maridhiano