Bado yupo haiWalau huyu jamaa alikuwa anafuata nyayo za mrema kwa masimulizi.
Hakupenda hii nchi raia wakae kwa uonevu wala wasiwasi. Ndiye aliasisi gari zianze kutembea usiku kucha sio habar ya kuogopa majambazi.
Amesha rest in peace ama yupo. Mzee wa mauno 😃😃😃
Kumbe drama hapo zimeanza kitamboMwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini;
Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi Kimara,jijini Dar es Salaam amewahoji mahabusu 32, kati yao, 11 alishangaa uwepo wao katika selo ya kituo hicho kwa miezi sita.
Ila,alisema Magu ni mungu.Bloody shenzy!Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini;
Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi Kimara,jijini Dar es Salaam amewahoji mahabusu 32, kati yao, 11 alishangaa uwepo wao katika selo ya kituo hicho kwa miezi sita.
Vikosi kazi vya bwana yule, aliviacha sasa vinatumalizaMtanikumbuka 😂🔥