Elections 2015 Kangi Lugola atwanga mtu ngumi

hahaha Kange unatafuta njia ya kuenguliwa ili uje kwa mzee wetu
 
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.

Mwaka huu tutaona mengi!

Mi nasema na wapigwe tu maana hamana namna sasa!
 
Ni mgombea mwenzie CCM ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana Kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.

Mwaka huu tutaona mengi!
Hii nchi ngumu sana
 
Back
Top Bottom