[emoji120]Nimeikubali hiyo signature yako..Lol!
atakoma.amehamia kweny mambo ya watu na team zao?
Unaweza kumsemea hivyo baba yako? Au ndio uropokaji wenyeweHuyu mzee kama ndio babaako unaweza kulia.
ni waziri wa MAMBO YA NDANI...unaelewa maana ya mambo ya ndani??? ni ya ndani kweliMambo yake na umri wala haviendani
Unaweza kumsemea hivyo baba yako? Au ndio uropokaji wenyewe
Try it to your own father.Mbona sikuelewi mkuu. Au huyu mzee ni babaako?
Hata leo kachelewa Dallas kama si kutotokea kabisa