Kangi Lugola: Diamond hana nidhamu aliwahi kuchelewa jukwaani

Kangi Lugola: Diamond hana nidhamu aliwahi kuchelewa jukwaani

Binadamu anapaswa kutafakari kwa kina kabla ya kushangilia pale apewapo sifa, uongozi ama zawadi. Kuna baadhi ya uongozi hupewa mtu si kwa uwezo wake wa kuongoza bali kwa mapungufu yake aidha kiakili ama kiuongozi, ili kutimiza dhamira ya aliyekuteua.
Si kila makofi huwa ni ya kushangilia, mengine ni ya kudhihaki. Mwenye fikra na aelewe.
 
Amechana mifuko ya mashati yote ameweka bendela umeona haitosho kaingia kwenye umbea
 
Nafasi ya Bashite hiyo!!!
swali nje ya mada: Hivi zile nafasi 10 za rais kuchagua wabunge zimeshajaa?
 
Hii habari imepikwa imewasilishwa ikiwa haijaiva...bora ingeachwa walau itokote
 
Back
Top Bottom