johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.
Chanzo: Bungeni
Maendeleo hayana vyama!