johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio, huyu huyu anayegombea jimbo na Cyprian Musiba!Kwahiyo Lugola ni mpiga chabo?
Lugola huyu huyu ambae ametumbuliwa kisa ni mwizi...
Kazi kweli kweli...tunafanya makosa kusema tuna Bunge wakati si kweli.Ndio, huyu huyu anayegombea jimbo na Cyprian Musiba!
Ngoma ikivuma sana.,......Kufuru nyingine mpaka unaogopa
Aliiba? Kwani mkataba ulikuwa tayari? Na kuna pesa zilikwapuliwa?Kwahiyo Lugola ni mpiga chabo?
Lugola huyu huyu ambae ametumbuliwa kisa ni mwizi...
Hamna alichukua kihalali ndiyo maana yupo huru...Aliiba? Kwani mkataba ulikuwa tayari? Na kuna pesa zilikwapuliwa?
Maana yake walikuwa wote hukoNa haendi tena hapo chako ni chako.
Toka CCM wabadili namna ya upatikanaji wa wagombea wao naona akili zao zmepotea kabisaKuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
Wakati ule kamtumbua mlishangilia na kumsifu Magufuli, sasa kamsamehe mnashangilia na kumsifu Magufuli!Aliiba? Kwani mkataba ulikuwa tayari? Na kuna pesa zilikwapuliwa?