Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Mh, kitakachofuata ni kuwa mapicha yote ya Kanisani yanayo depict Bwana Yesu yaondolewe yawekwe ya Yesu MPYA!

Maaskofu wamenyamaza, wako busy kukusanya sadaka na kutoa adhabu kwa waumini wajinga ambao ndio mtaji wao! Asante baba Bagonza angalau umekemea.
 
Hii yote Ni hofu ya kukatwa na kamati kuu kwenye mchujo unaoanza mwezi julai.Pia kangi Ni mtuhumiwa Wa economic sabotage, anafurahia kusamehewa na rais.
 
Hiyo kauli ya Kange Lugora ni kama anamwangia! Naomba mheshimiwa Rais asilikubali Hilo moyoni. Huwezi kumlinganisha mwanadamu na Yesu! Mwanadamu ndiye humwomba Mungu kwa Jina la Yesu. Sasa huwezi kufananishwa na yule unayemwomba na ukaona kuwa huyo mtu anayekufananisha na Yesu anakutakia mema!! This is witchcraft of highest order! Extremely destructive!! Mungu ni Mungu mwenye wivu.
Wote tunamjua rais wetu jinsi alivyo mcha Mungu, hatakubali moyoni na hadharani kufananishwa na Yesu!! Kange humtakii rais wetu mema! Umeamua kumchonganisha na Mungu lakini hutafanikiwa!!
 
Tumepoteza wanaume wengi Sana awamu hii
Eti huyu naye akifika kwa mke anaomba mzigo!.

Ila JPM AMEONESHA DOUBLE STANDARD SANA AWAMU HII. Yaani ndio maana waovu wanakimbilia ccm kwasababu huko utaachwe kabisa
 
Maneno ya Kangi Lugora baada ya kumfananisha Rais Magufuli na Yesu ambapo anasema:

Rais Magufuli ni kama Yesu na hata aliponitengua uwaziri nilimshukuru kwa kumwambia "Ulinipa uwaziri, sasa umeutwaa na jina lako lihimidiwe"

Sisi kama nchi kwa sasa jina la Magufuli linatufanya tunamkufuru Mungu. Hili halikubaliki hata kidogo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anachokitafuta atakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…