Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kunywa pombe chakonichako na kulikata uno ka demu kipi bora?Hamna alichukua kihalali ndiyo maana yupo huru...
Hakuna mwanaccm mwizi kumbuka
Ha ha ha ha yesu anaelindwa na binduki daaaaah hebu cheki na Kangi atuambie yesu wake yupo wapi Leo.Jamani mlioko dodoma mnaweza kutuambia leo 'yesu' anasali kanisa gani?View attachment 1478137
MasihaHa ha ha ha yesu anaelindwa na binduki daaaaah hebu cheki na Kangi atuambie yesu wake yupo wapi Leo.
Akili zingine unabaki mdomo wazi tu maana zinashangaza kama si kusikitishaHuyu anatafuta laana. Unamlinganisha mwanadamu na Mungu katika umbo la mwanadamu. Hii ni kufuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ndo si chururuKuna mtu alijifananisha na kiongozi wa malaika,sasa kafananishwa na masiha..mwishowe watasema ni mungu
Nje ya madaKwani kunywa pombe chakonichako na kulikata uno ka demu kipi bora?
Hii ni hatari
Kuna mtu aliwahi kusema Mungu amshukuru Magufuli..hii.mbona kufuru ndogo sana
Haahaa, duh sins mbavuuuChezea kusamehewa makosa yake,pia huyo ni mwanafunzi wa yesu wa chato alikuwa ni Mwalimu wake,so kange atakuwa ndie batholomeo.
Tumepoteza wanaume wengi Sana awamu hii
Eti huyu naye akifika kwa mke anaomba mzigo!.
Maneno ya Kangi Lugora baada ya kumfananisha Rais Magufuli na Yesu ambapo anasema:
Rais Magufuli ni kama Yesu na hata aliponitengua uwaziri nilimshukuru kwa kumwambia "Ulinipa uwaziri, sasa umeutwaa na jina lako lihimidiwe"
Sisi kama nchi kwa sasa jina la Magufuli linatufanya tunamkufuru Mungu. Hili halikubaliki hata kidogo.