Nimeandika sana humu kama ulivyoandika. Basi YESU ni Jiwe! Katoliki wamebariki!Wanabodi,
Saalam!
Kwakuwa kangi lugola alitamka, mbele ya camera na kusikiwa na watanzania waliowengi.
Ilitakiwa aliyefananishwa na Yesu kristo, leo ktk kulivunja bunge akane au kumkemea lugola hadharani.
Tofaauti na mategemeo ya wengi imekuwa kimya.
Hivyo kitendo hicho kinatuonesha lugola amekubali na muhusika kama siyo kutumwa.
My take,
Viongozi wa dini watu hao watengwe kanisani kanisani, msipofanya hivyo mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kumweka mwanaadam kwenye nafasi ya mungu.