Nimeandika sana humu kama ulivyoandika. Basi YESU ni Jiwe! Katoliki wamebariki!Wanabodi,
Saalam!
Kwakuwa kangi lugola alitamka, mbele ya camera na kusikiwa na watanzania waliowengi.
Ilitakiwa aliyefananishwa na Yesu kristo, leo ktk kulivunja bunge akane au kumkemea lugola hadharani.
Tofaauti na mategemeo ya wengi imekuwa kimya.
Hivyo kitendo hicho kinatuonesha lugola amekubali na muhusika kama siyo kutumwa.
My take,
Viongozi wa dini watu hao watengwe kanisani kanisani, msipofanya hivyo mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kumweka mwanaadam kwenye nafasi ya mungu.
Kanisa siyo wajinga kama chadema mlivyoNimeandika sana humu kama ulivyoandika. Basi YESU ni Jiwe! Katoliki wamebariki!
Tunamwachia Mungu awatenge.Wanabodi,
Saalam!
Kwakuwa kangi lugola alitamka, mbele ya camera na kusikiwa na watanzania waliowengi.
Ilitakiwa aliyefananishwa na Yesu kristo, leo ktk kulivunja bunge akane au kumkemea lugola hadharani.
Tofaauti na mategemeo ya wengi imekuwa kimya.
Hivyo kitendo hicho kinatuonesha lugola amekubali na muhusika kama siyo kutumwa.
My take,
Viongozi wa dini watu hao watengwe kanisani kanisani, msipofanya hivyo mtakuwa mmeshiriki dhambi ya kumweka mwanaadam kwenye nafasi ya mungu.
SawaIokote
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.
Chanzo: Bungeni
Maendeleo hayana vyama!
Inamana Mungu wa wakiristo anafanana na binadamu, anaenda chooni kunya, anakula chakula, anapata njaa, anaumwa anakojoa
Dah.....bunge linogile.
Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro.
Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu nyingine yoyote tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayeshinda Grocery na hasa pale Chako ni Chako.
"Niliwahi kusema watu kama Rais Magufuli hawazaliwi kila wakati na hauwezi kuwapata kila mahala. Watu ambao unaweza kuwapata kila mahala ni walevi kama kina Freeman Mbowe" - Kangi Lugola.
Chanzo: Bungeni
Maendeleo hayana vyama!
Upumbavu ni pale ambapo wapambe wanaotaka vyeo wanakufuru kukufananisha na Mitume na Manabii wetu, halafu na wewe huwakemei.