Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

Aiseee
 
Hawa walimtenda Magufuli kwa akili sana.

Walimpa rushwa ya sifa za uongo ili wapewe asali.

Walipomchoka wakamuua kwa kumwita Yesu...kufuru ya hali juu
 

Hivi huyu jamaa siku hizi yuko wapi?

Sikuwahi kujua kumbe hapa Tanzania unaweza kuwa na tatizo la afya ya kiakili kama huyu bwana na bado ukapewa uongozi ili kuongoza watu wenye akili timamu...!

Huyu jamaa ilikuwa akiamua kucharuka kwa ulevi wa madaraka ya cheo chake, basi aliweza kutapika chochote bila kupima athari zake katika jamii..
 
Lugola ni hovyo sana! Anamjua Yesu huyu fisadi?
 
H
Ccm wanapenda mijitu ya hovyo kama haya!
 
Anavua kamongo kwao huko na ndugu yake Cyprian Musiba
 
Bange hizi!
 
Mimi nimemkumbuka raba zake na akikata mauno kucheza dansi na mwanadada..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…