Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.

Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile. Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.

Kuna maeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama Polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa Mambo ya Ndani. Tena kwa kuwauliza kwa kebehi "ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'? Wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao, lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr. Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.

Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama na yeye atamuua.

Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.

I'm very excited kusikia Lugola kapigwa chini. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu akipata kicheo serikali naye anajiona ni mungu.
Yupo wapi mzee wa bao la mkono Nape? Kuna mmoja anaitwa Bashite. Yeye ndiyo humwambii kitu. Nakumbuka alivyomdhalilisha yule mama mbele ya wananchi utafikiri yeye kakamilika kwa kila kitu. Kila sehemu vitisho, wafanyakazi wanapelekwa utafikiri watumwa. Mpaka hii awamu ipite tutajionea mengi.
Cheo ni dhamana
 
Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile.Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.

Kunamaeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani.Tena kwa kuwauliza kwa kebehi " ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'?wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao,lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr.Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.

Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama nayeye atamuua.Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.
hakuna ajuaye kesho yake huyu jamaa alifikiri anafanya mambo kwa kumfurahisha aliyemteua kumba alikuwa anajidhalilisha sasa asubiri joto ya jiwe kwa aliokuwa anawadhalilisha
 
Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile.Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.

Kunamaeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani.Tena kwa kuwauliza kwa kebehi " ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'?wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao,lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr.Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.

Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama nayeye atamuua.Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Kuna maneno au usia ambao mzee wetu raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliuusia kwa kusema,"Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu, basi ewe ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa". Je hivi ndivyo tutakavyo wahadithia watu kuhusu mheshimiwa Kangi Lugola?
 
Sasa umefurahi sana huyo mchinja kuku kufa je siku anaechinja kondoo akichinjwa si ndio utaandamana kikojoleo kikiwa nje
 
Back
Top Bottom