Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Kwa hilo sitamsahau maana 30 zetu zimeliwa sana. Pamoja na zile tochi za kurushiana kwenye simu.. Unapigwa Msata unaenda kuikuta Segera huko uhuni mtupu
MKUU.ZILE ZILINIFANYA NKAACHA KABISA KUENDESHA LONGSAFARI ILIKUWA.KAMA WATUMWA
 
YAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI

KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA

WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI
Sijui kama atampandisha hko
Inaweza ikawa mupe muruke
Ila akienda hko atakutana na magoti, kabendera, ruge na Manunda wengine
Ahh kama atapwlwkwa hko lazima afisa mdg sana wa magereza atamwambia mzee chuchumaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri mfumo wa dunia nzima katika swala uongozi liangaliwe upya,unakuta mwanasiasa darasa la Saba anajua kupiga bla bla sana kama msukuma anakuja kumuongoza msomi wa phd na kumuamlisha kama kiratagosi. Wasomi shtukeni,hawa wanasiasa watawamaliza kisaikorojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma na Lugola darasa moja. Hapo nyuma tulikua tunanunuliana beer tukikutana sehemu za beer. Nakumbuka hata alipokua polisi pale Magomeni tulishawahi kukaa na kucheka vizuri tu enzi hizo anakaa Kibo ya Kimara. Alipopata uwaziri tulikutana pale Break Point Kinondoni makaburini mimi nimekaa pale nje nagonga vitu vya bei mbaya mara akaingia na kupita hadi ndani akifuatana na msaidizi wake aliyemshikia simu, diary na takataka zote. Nikaenda kumsalimia. Duh nikamkuta ameagiza wine ya bei mbaya na ucheshi umepungua sana. Sijui alidhani nitamuomba kinywaji?
 
YAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI

KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA

WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI
Angeboresha magereza kidogo angepata ahueni kama atakwenda.
 
Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.

Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile. Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.

Kuna maeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama Polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa Mambo ya Ndani. Tena kwa kuwauliza kwa kebehi "ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'? Wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao, lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr. Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.

Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama na yeye atamuua.

Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.

Ukiwa na nafasi usitafute bifu na polisi watakusubiria tu ukishuka,masha aliwapelekesha polisi aliposhuka walimlaza ndani
 
Kuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukulia
 
Nilisoma na Lugola darasa moja. Hapo nyuma tulikua tunanunuliana beer tukikutana sehemu za beer. Nakumbuka hata alipokua polisi pale Magomeni tulishawahi kukaa na kucheka vizuri tu enzi hizo anakaa Kibo ya Kimara. Alipopata uwaziri tulikutana pale Break Point Kinondoni makaburini mimi nimekaa pale nje nagonga vitu vya bei mbaya mara akaingia na kupita hadi ndani akifuatana na msaidizi wake aliyemshikia simu, diary na takataka zote. Nikaenda kumsalimia. Duh nikamkuta ameagiza wine ya bei mbaya na ucheshi umepungua sana. Sijui alidhani nitamuomba kinywaji?
Kna cmnt nlichangia jna nlisema huyu lugola kna wkt alikuwa magomeni pale.....
Ngj niishie hapa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma na Lugola darasa moja. Hapo nyuma tulikua tunanunuliana beer tukikutana sehemu za beer. Nakumbuka hata alipokua polisi pale Magomeni tulishawahi kukaa na kucheka vizuri tu enzi hizo anakaa Kibo ya Kimara. Alipopata uwaziri tulikutana pale Break Point Kinondoni makaburini mimi nimekaa pale nje nagonga vitu vya bei mbaya mara akaingia na kupita hadi ndani akifuatana na msaidizi wake aliyemshikia simu, diary na takataka zote. Nikaenda kumsalimia. Duh nikamkuta ameagiza wine ya bei mbaya na ucheshi umepungua sana. Sijui alidhani nitamuomba kinywaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukulia
Ni kweli kabisa, mwenye Dar alifimbana na Boss Ruge tukaishia kum RIP achana na man in power.
 
Kuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukulia
On the flipside of a bully is an imprint of a coward
 
Chiriku Hemed Maneti aliwahi kuimba " madaraka yana mwisho wake Fatuumah, aliye juu mngoje chini dunianiiiii" kama mnakumbuka enzi za takatuka awamu ya pili vijana jazz balaah
 
YAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI

KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA

WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI
Atakuwa ubalozi nchi fulani kama yule katibu mkuu!
Yule Jeneral wa faya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom