Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Nawaza tu kesho ninja ana amka asubuhi then hakuna gari za wizara inamfata no escort yani unatembea na gari moja tu vx as mbunge mzee utakufa kwa pressure hukujua cheo dhamana ukalimbuka
 
Hivi yale manguo yake yenye bendera atayapeleka wapi? Au ndiyo atakuwa kama Mwigulu?
 
eti kushona bendera ya nchi na kuvaa mwilini ndio kuonyesha uzalendo wawe wanavaa hata wakitumbuliwa.
 
Mtu akipata kicheo serikali naye anajiona ni mungu.
Yupo wapi mzee wa bao la mkono Nape? Kuna mmoja anaitwa Bashite. Yeye ndiyo humwambii kitu. Nakumbuka alivyomdhalilisha yule mama mbele ya wananchi utafikiri yeye kakamilika kwa kila kitu. Kila sehemu vitisho, wafanyakazi wanapelekwa utafikiri watumwa. Mpaka hii awamu ipite tutajionea mengi.
Cheo ni dhamana
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa kuna yule aliyempigia saluti bila kuwa navile vifimbo vyao asee alivyomchachafya.!! unaweza sema yule afande alipiga saluti bila kofia .![emoji28]
Nakuuliza wewe kifimbo kiko wapi.

Wap kifimboo

Sitaki saluti yako mpka uje na kifimbo...mbona wenzako wafimbo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo Amna tena saluti...hata askar wanaokulinda kwako nyumban uwakuti leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom