Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Zile Kaunda suti zenye benders ya Jamhuri Kangi ataendea shambani
Bendera ni nyara za serikali, nje ya ofisi ni marufuku kuendea shambani.... amuulize Mwigulu Madeluu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile Kaunda suti zenye benders ya Jamhuri Kangi ataendea shambani
Kangi Ni Mbunge wa Mwibara
Unaanza kuteuliwa kuwa mbunge ndo unapewa uwaziriKangi Ni Mbunge wa Mwibara
Ndio Wapo Mf Joyce Ndalichako
Sijui ile nyumba ya kimada wake ya Mbweni itaisha!!!
akiyavaa hayo manguo yatakuwa yana mkumbusha machungu tu bora ayachome moto.Hivi yale manguo yake yenye bendera atayapeleka wapi? Au ndiyo atakuwa kama Mwigulu?
Noma sana!Mtu akipata kicheo serikali naye anajiona ni mungu.
Yupo wapi mzee wa bao la mkono Nape? Kuna mmoja anaitwa Bashite. Yeye ndiyo humwambii kitu. Nakumbuka alivyomdhalilisha yule mama mbele ya wananchi utafikiri yeye kakamilika kwa kila kitu. Kila sehemu vitisho, wafanyakazi wanapelekwa utafikiri watumwa. Mpaka hii awamu ipite tutajionea mengi.
Cheo ni dhamana
Nakuuliza wewe kifimbo kiko wapi.Hahaa kuna yule aliyempigia saluti bila kuwa navile vifimbo vyao asee alivyomchachafya.!! unaweza sema yule afande alipiga saluti bila kofia .![emoji28]