MPWA TAKOO.LINAHADHIYAKE MKUU
MKUU.ZILE ZILINIFANYA NKAACHA KABISA KUENDESHA LONGSAFARI ILIKUWA.KAMA WATUMWAKwa hilo sitamsahau maana 30 zetu zimeliwa sana. Pamoja na zile tochi za kurushiana kwenye simu.. Unapigwa Msata unaenda kuikuta Segera huko uhuni mtupu
Sijui kama atampandisha hkoYAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI
KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA
WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI
Angeboresha magereza kidogo angepata ahueni kama atakwenda.YAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI
KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA
WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI
Ukiwa na nafasi usitafute bifu na polisi watakusubiria tu ukishuka,masha aliwapelekesha polisi aliposhuka walimlaza ndaniNdani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.
Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile. Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.
Kuna maeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama Polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa Mambo ya Ndani. Tena kwa kuwauliza kwa kebehi "ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'? Wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao, lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr. Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.
Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama na yeye atamuua.
Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.
https://www.facebook.com/
Kuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukuliaNdani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.
Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile. Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.
Kuna maeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama Polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa Mambo ya Ndani. Tena kwa kuwauliza kwa kebehi "ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'? Wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao, lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr. Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.
Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama na yeye atamuua.
Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.
https://www.facebook.com/
Kna cmnt nlichangia jna nlisema huyu lugola kna wkt alikuwa magomeni pale.....Nilisoma na Lugola darasa moja. Hapo nyuma tulikua tunanunuliana beer tukikutana sehemu za beer. Nakumbuka hata alipokua polisi pale Magomeni tulishawahi kukaa na kucheka vizuri tu enzi hizo anakaa Kibo ya Kimara. Alipopata uwaziri tulikutana pale Break Point Kinondoni makaburini mimi nimekaa pale nje nagonga vitu vya bei mbaya mara akaingia na kupita hadi ndani akifuatana na msaidizi wake aliyemshikia simu, diary na takataka zote. Nikaenda kumsalimia. Duh nikamkuta ameagiza wine ya bei mbaya na ucheshi umepungua sana. Sijui alidhani nitamuomba kinywaji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisoma na Lugola darasa moja. Hapo nyuma tulikua tunanunuliana beer tukikutana sehemu za beer. Nakumbuka hata alipokua polisi pale Magomeni tulishawahi kukaa na kucheka vizuri tu enzi hizo anakaa Kibo ya Kimara. Alipopata uwaziri tulikutana pale Break Point Kinondoni makaburini mimi nimekaa pale nje nagonga vitu vya bei mbaya mara akaingia na kupita hadi ndani akifuatana na msaidizi wake aliyemshikia simu, diary na takataka zote. Nikaenda kumsalimia. Duh nikamkuta ameagiza wine ya bei mbaya na ucheshi umepungua sana. Sijui alidhani nitamuomba kinywaji?
Ni kweli kabisa, mwenye Dar alifimbana na Boss Ruge tukaishia kum RIP achana na man in power.Kuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukulia
Mbunge sio lazima awe wa jimbo tu, pia wapo wa kuteuliwa na viti maalum
On the flipside of a bully is an imprint of a cowardKuna watu ukigombana nao katika hii awamu ya tano,unatakiwa kuwa makini. Mwenye Dar(Kigwangala) na Mwanaharakati huru(Lugola) hawa jamaa ni zaidi ya jinsi watu wanavyowachukulia
Atakuwa ubalozi nchi fulani kama yule katibu mkuu!YAANI MPWA WANAANZA TAKUKURU KUMNYOOSHA MKULU KAAGIZA LEO WAINGIE OFISINI KUANZA UCHUNGUZI
KINACHOFWATA NA KUONYESHA UPENDO KWA KUPANDA KAGARI KETU PENDWA CHA KIJANIHAHAHAAAA
WALE WANYAPARA SIJUI WANAJISIKIAJE WAKIMWOJA AKIWASILI