Mbona hukutoa ushauri huo Makonda aliposema watakaonunua samani zake watalaaniwa wao na vizazi vyao?Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema
Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa
Mbona hukutoa ushauri huo Makonda aliposema watakaonunua samani zake watalaaniwa wao na vizazi vyao?
Inamaana uzi huo ulipita kimya kimya au ulitia neno!!!!Angeandika humu JF ningemshauri
Lakin Kwa Kuwa hakutumia Jukwaa hili haikuwa rahisi kumshauri
NONSENSE!!!!!!!!
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika
Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote
Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa
Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua
> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?
Kasema uongo? Hakuna mbunge aliyefia mjengoni? Hujaona watu wanafia bafuni au chooni? Je wanaofia kwenye gari wakisafiri? Hujaona wanaofia bar wakipiga urabu? Wanaofia kwenye vifua vya wanawake hujawaona?Utawala uliofitinika utauona tu
Inamaana uzi huo ulipita kimya kimya au ulitia neno!!!!
Double standardWewe umeniuliza Kwanini Sikushauri Kwa Makonda Kwani huo uzi uliletwa Na Makonda?
Ila Pia kumbuka ushauri Sio order Ukiona sahihi unauchukua Na Ukiona haifai unaendelea Na utaratibu wako wa Maisha Kama kawaida
Una uhakika unakumbuka sakata lililosababisha waziri wa mambo ya ndani wakati huo AHM kujiuzulu au ulikua hujazaliwaMbona huko nyumaa walikuwa hawafii kituo cha polisi.
Ni swala la kujiuliza kwa sauti tu
mbona kasahau kuvaa suti za mabendera? na vipi kuhusu ile ilani alosema.atazikwa nayoKangi Mzee wa suti ka magunia.
Wewe kama mdau na shabiki wa utawala huu, toa maoni yakoDuh!