Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

".........Mbona hawaendi kuchoma Kitanda?" 😂😂
 
Kuapizana mpaka vizazi Sio vyema

Imagine ukiambiwa Kila unalofanya halifanikiwi Kwa Kuwa Baba wa Babu yako aliapizwa
Mbona hukutoa ushauri huo Makonda aliposema watakaonunua samani zake watalaaniwa wao na vizazi vyao?
 
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika

Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote

Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa

Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua

> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?

NONSENSE!!!!!!!!
 
Utawala uliofitinika utauona tu
Kasema uongo? Hakuna mbunge aliyefia mjengoni? Hujaona watu wanafia bafuni au chooni? Je wanaofia kwenye gari wakisafiri? Hujaona wanaofia bar wakipiga urabu? Wanaofia kwenye vifua vya wanawake hujawaona?
 
Inamaana uzi huo ulipita kimya kimya au ulitia neno!!!!

Wewe umeniuliza Kwanini Sikushauri Kwa Makonda Kwani huo uzi uliletwa Na Makonda?

Ila Pia kumbuka ushauri Sio order Ukiona sahihi unauchukua Na Ukiona haifai unaendelea Na utaratibu wako wa Maisha Kama kawaida
 
Double standard
 
Mbona huko nyumaa walikuwa hawafii kituo cha polisi.
Ni swala la kujiuliza kwa sauti tu
Una uhakika unakumbuka sakata lililosababisha waziri wa mambo ya ndani wakati huo AHM kujiuzulu au ulikua hujazaliwa
 
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika
Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote
Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa
Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua
> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?
 
Heri kufa na fikra zinazoishi kuliko kuishi na fikra mfu.
 
sometimes ninajisikitikia why nilizaliwa Tanzania ?nchi haiishi vituko vya ajabu elewa my minister wewe ni mmoja wa security cluster wa nchi yangu ,ninategemea u can do better than this,sijakusikia hata siku moja (hata mawaziri waliokutangulia)wakitoa crime statistics za nchi nzima ikiwa ni pamoja ya waliofia kwenye mikono ya polisi,ndio maana nchi yetu imegeuzwa kuwa ni short cut ya human trafficking,drugs ,money laundering(tetesi fedha za ma terrorists zinapikwa nchini mwetu)ila waziri wangu yupo busy na misemo ya kijiweni,nchi hii mnaipeleka wapi?hakuna awamu ya utawala ambayo watu wengi wamekufa katika mazingira ya utatanishi kama awamu hii na hili tukiliongea tunanyamazishwa kuwa ni uchochezi;please my minister always apply your mind kabla ya kufungua mdomo wako otherwise heshima yako na wizara nyeti unayoiongoza inapotea;nikipewa urais wa siku moja kabla ya saa 4 asubuhi hii wizara ya home affairs nitakuwa nimeshaivunja na kuanzisha wizara mbili;home affairs(only raia na immigrations)na wizara ya polisi (hii itaongozwa na wasomi na utendaji kazi wake hautakuwa wa kupiga ramli,special units kadhaa zitaanzishwa kama ;drugs,human trafficking,hijacking,terror attacks etc etc na on top my crime inverstigations unit itajaa wataalamu wenye uwezo wa kutumia techonoloji katika kudadavua matukio.
 
Back
Top Bottom