Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
ultaka asemeje ili ufurahie jibuShida kubwa viongoz wa awamu hii hujibu maswali kama wapo komed
huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.Hawana namna nyingine zaidi ya kukaa upande wa shetani na kujitahidi kumpaka Mafuta ili apendeze.
R.I.P Akwiline
R.I.P. Alphonce Mawazo
R.I.P Daudi Mwangosi
Na woote walio uwawa kwa Hila ..
huu ujinga wa akili yako kuambiwa kila jambo hivi wamekufa hao tu ktk taifa hili wewe wamekufa wangapi ktk ukoo wenu umemuliza nani hayo maswali.acheni ujinga wa kuwekewa sio kila jambo siasa uyapendayo ndio yasemwe.
Back to your sense now! Hatuna viongozi tuna watawala, na watawala majibu yao ni ya aina hii....Kangi anapaswa kujua Mtu akifa kwenye kitanda Cha kwenye ward hospital huwa Sio breaking news lakin akifa kwenye kitanda Cha gesti huwa Ni breaking news
Du, tangu nizaliwe sijawahi kusikia majibu ya kipumbavu kama haya wallahi!
Katika siku za hivi karibuni kumetokea tabia mbaya na chafu na ovu kabisa ya Mahabusu kufia kwenye vituo vya Polisi. Mahabusu wanapelekwa wanapata mateso yanayopelekea vifo vyao, kuna baadhi ya jamii zimekataa kuchukua maiti kwenda kuzizika
Kangi Lugola: Mwananchi kufa, anakufa wakati wowote na mahali popote . Sijui kwenye Quran lakini kwenye Biblia ukisoma Muhubiri 9:12 kifo ni mtego, kifo humnasa mtu wakati wowote na mahali popote
Mtu anaweza kufa akiwa polisi, akiwa anafanya mapenzi, anaweza akafa akiwa kwenye gari anasafiri na aweza kufia hata humu Bungeni kwahiyo isije ikachukuliwa kwamba nayefika kituo cha polisi ni kwamba ameteswa
Lakini nikiri kuwa kuna matukio ya Watu kufia mikononi mwa Polisi, na pale ambapo matukio hayo yanajitokeza huwa tunafanya uchunguzi na ikibainika Polisi wanahusika huwa tunachukua hatua
> Na ndio maana tunawazuia wananchi wasichukue sheria mkononi na kwenda kuchoma kituo cha polisi. Mbona huyu anayefia akifanya mapenzi mbona hawaendi kuchoma kitanda?
Na iwe hivyoHuyu ninja huwa simwelewagi kabisa anajibugi maswali kama mtoto wa chekechea , Shame on killers damu za wanaouawa iwarudie iviandame vizazi vyenu mpaka kizazi chenu cha nne. curse on you killers!